hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
hiyo imetokea wakati mabarabara anaenda kuzindua barabara iliyojengwa kwa kiwango cha lami kuunganisha mikoa ya rukwa, mbeya na mikoa ya jirani huku ikiwaondolea wananchi adha ya muda mrefu ya kuteseka kwa kukosa usafiri. magufuli amewataka wananchi kuitunza barabara hiyo na kuwashauri kuchangamkia fursa mpya zitakazojitokeza.
source; tbc habari jioni hii
source; tbc habari jioni hii