Wananchi Pwani kuandamana kuipinga HLRC kwa kumshitaki PINDA na Werema!!

...

.....wakiandamana na sisi tutaandamana kuunga mkono HLRC!!!!!

nahisi watakuwa wametumwa......
 
Napata shida kuelewa maandamano haya. Ninachoona hapo hao wanaharakati wanataka kuona nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria. kwa hiyo kuhoji kauli ya Pinda sio haramu maana anapelekwa katika chombo mwafaka kwa mujibu wa nchi katika kusimamia haki, sasa hao wanaotaka kuandamana wanaajenda ya siri tena mbaya kwa taifa letu.
 
wakiandamana ndio mahakama haitamfunga jela huyo pumbufu? Wameshahau mahakama ilithibitisha tunaongozwa na Waziri Mkuu wapumbavu kuliko wote katika historia ya TZ?
 
Wananchi mkoa wa Pwani wameandaa maandamano ya kupinga kituo cha haki za binadamu kwa kitendo cha kumfungulia mashitaka Waziri mkuu mh Pinda na mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema.

Wananchi hao wanadai kuwa kitendo cha kituo hicho cha haki za binadamu (HLRC) kuwafungulia mashitaka Waziri mkuu Pinda na mwanasheria mkuu wa serikali ni cha uchochezi na kinachotaka kuvuruga Amani ya nchi na kuwa nyuma ya Agenda hiyo kuna watu wasioitakia nchi hii mema.

Source; Radio Free Afrika tuzungumze magazeti.

Naunga mkono 100%
 
wakiandamana ndio mahakama haitamfunga jela huyo pumbufu? Wameshahau mahakama ilithibitisha tunaongozwa na Waziri Mkuu wapumbavu kuliko wote katika historia ya TZ?

Mahakama ilithibitisha lini? acha kupotosha umma wewe, Waziri aliiomba mahakama imuache kwa vile alikuwa hajui alisemalo huyo msanii wa bongo fleva.
 
Hii ndiyo tabu ya watanzania kuchanganya sheria na siasa ni bora hao wanaopanga maandamano wakaelewa nia ya LHRC na siyo kukurupuka kwani kuna uwezekano mahakama ikatoa hukumu yenye kusema pinda yuko sahihi au hayuko sahihi. so na wao waende mahakamani watoe ushahidi kwa mdaiwa lakini waache kif cha 110 cha sheria ya ushahidi sura ya 6 (re2002) kitfanye kazi
 
Hii hawa Mabwenyenye waandamane kwaajali yako si utaona kama wanakutia nuksi vile!Maana wote mtaonekana ni wale wale wakaa vibarazani na kucheza bao.Siku za weekend ngoma za mdundiko kama kawaida,Akina dada,akina kaka,akina mama,akina baba wote mnajimwaga katika sebene mkiwa mmejifunga vibwebwe si mauno hayo.Ndio maisha ya watu wa Pwani.Kazi hawataki.
 
Acheni kuwadhalilisha watu wa Pwani kijumlajumla hata Arusha kuna wajinga wachache wanaoweza kufanya hivyo.
 
Wasijumuishe wananchi wote wa Pwani. Those are hopeless citizens ambao wamepandikizwa tu na wanasiasa wa Chama tawala.Let us see ile kauli kama itafanya kazi"Tumechoka wapigwe tu". Hii nchi inapaswa kuendeshwa kwa utawala wa sheria na siyo ubabe.
 
Kuna mtu kanoambia eti vichwa vyao ni vya kuwaza ngoma tu.......

Wachunga ngo'mbe sasa mumekosa adabu enh? Lakini matusi yote haya wameyataka wazee wetu kwa kumkabidhi nchi mlugaluga Nyerere wenyewe wakijua atatenda haki kumbe imekua kinyume chake, leo watoto wake wanaanza kututukana humu. alaaniwe Nyerere
 
Back
Top Bottom