Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 191
Wasi wasi wangu ni kuwa, wanaozomea ni watu walioishiwa hoja, Wapinzani wana hoja za nguvu dhidi ya CCM. Suala la kushabikia kuzomewa kwa viongozi wa CCM na wale wanaodaiwa ni 'wananchi wenye hasira kali', linaweza kuigwa na makada wa CCM kwa kujificha kwenye kivuli kile kile cha 'wananchi wenye hasira kali'. Hili likifanyika, basi wapinzani ndio watakaokosa katika huu mchezo mzima wa kuzomeana majukwaani.
wewe mlevi kweli weweWasi wasi wangu ni kuwa, wanaozomea ni watu walioishiwa hoja, Wapinzani wana hoja za nguvu dhidi ya CCM. Suala la kushabikia kuzomewa kwa viongozi wa CCM na wale wanaodaiwa ni 'wananchi wenye hasira kali', linaweza kuigwa na makada wa CCM kwa kujificha kwenye kivuli kile kile cha 'wananchi wenye hasira kali'. Hili likifanyika, basi wapinzani ndio watakaokosa katika huu mchezo mzima wa kuzomeana majukwaani.
Jana mwenyekiti wa .............. alinukuliwa akiwaambia wapiga kura wa Jimbo la Busanda kuwa wasiwazomee Viongozi wa CCM badala yake wawaambie "stop this non-sense".
Wasi wasi wangu ni kuwa, wanaozomea ni watu walioishiwa hoja, Wapinzani wana hoja za nguvu dhidi ya CCM. Suala la kushabikia kuzomewa kwa viongozi wa CCM na wale wanaodaiwa ni 'wananchi wenye hasira kali', linaweza kuigwa na makada wa CCM kwa kujificha kwenye kivuli kile kile cha 'wananchi wenye hasira kali'. Hili likifanyika, basi wapinzani ndio watakaokosa katika huu mchezo mzima wa kuzomeana majukwaani.
Watazomea kwenye boksi la kura? Hapo ndipo pana umuhimu.
Mkuu sijakuelewa ktk maneno bold hapo?- Maneno mazito sana, sasa hii zomea zomea kama ni kweli ni ya wananchi wa Busanda, nitaamini baada ya matokeo ya kura kwenye box na hapo ndipo wananchi wa Busanda watahitaji kupewa nafasi kuelimisha wananchi wengine wote wa Tanzania, as long as hao wazomeaji sio vijana 70 walowezi toka Tarime.
Respect.
FMEs!
Mkuu sijakuelewa ktk maneno bold hapo?
kuna ushahidi wowote kuhusu hao vijana walowezi 70 kutoka tarime???
- Kwani wewe umeweka ushahidi wowote wa kuzomewa kwa CCM? By the way unalala saangapi mkuu maana 24/7 umo humu Duh! Samahani kwa kukukwaza na hili swali lakini I am just curious! I mean you are all over all the times, Damn!
FMES