Mbunge wa mbarali Mzee Francis wiki iliyo pita trh 10/5/2023 alitoa taarifa Bungeni kuwa Askari wa Tanapa wamewapora wananchi wa mbarali mifugo Yao zaidi ya ng'ombe 200, jambo lililo pelekea waziri Mkuu kutoa maelekezo.
Jana trh 13/5 kwenye taarifa ya habari Azam utv waziri wa maliasili alikanusha kuwa hakuna mfugo hata mmoja ulioporwa na Tanapa, wananchi pia wamekanusha uvumi huo ulio tolewa na Mbunge!!!!
Sasa swali la kujiuliza, ni kwa Nini Mbunge alisimama Bungeni na kulidanganya Bunge na kuzua taharuki?!
Kama alikuwa hana habari za uhakika kwa Nini asinge jiridhisha kwanza?! Kwa Nini asingejadiliana na viongozi kwanza badala ya kupwayuka?!
Badala ya kuwakemea wananchi wanao vunja Sheria na kuingiza mifugo hifadhi tunaanza kuwalaumu Askari wa Tanapa walio pewa majukumu ya kulinda hifadhi zetu!!!!
Tuache huu unafiki, tunawaomba Tanapa wasiwachekee wananchi wanao vunja Sheria za hifadhi, wakikaidi wapeni kibano na wapelekeni kwenye vyombo vya Sheria.
Tunamuomba Spika wa Bunge atoe adhabu kwa Mbunge huyu kwa kuzusha taarifa ambazo sio sahihi, alidai wananchi wameporwa ng'ombe zao na baadhi Yao wanataka kujiuwa!?
hoja yangu imejikita kwenye tuhuma ya WANANCHI KUPORWA NGOMBE 200 kama ilivyo daiwa na Mbunge kuwa tuhuma hizo sio za kweli ni uzushi na hivyo nimeomba Mbunge huyo adhibiwe kwa uzushi.
Hatuwezi kwenda kwa kubembelezana wala kuchekeana.