fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Kwa mipango ya chini chini, kununua magazeti, kununua watu JF forum na hata mamodereta wetu kufuta nyuzi zenye mashiko au kuchanganya nyuzi kwa lengo la kuwapoteza wananchi, hakika EL atakataliwa na wananchi iwapo atagombea ama kupitia CCM, ACT au TLP.
EL atakataliwa kama ambavyo Mrema, ZZK wanakataliwa na wananchi, watu hawa wanaharufu kali ya usaliti kwa umma.
Ukituhumiwa mambo ya UFISADI huwezi tena uje kuwa amri jeshi mkuu wa nchi, fisadi??? (kwa maneno yako ulijihuzuru kulinda CCM na serikali sio wananchi ndo maana hujaweza kusema ukweli wa mambo hado leo unalalamika tu, kama ulionewa sio sema ukweli once and for all) wananchi wa tz sio wajinga pesa wala, pilai kama Nape ala lakni kura kuchagua rais, hatuwezi mpa mtu kama EL.
Umekaa bungeni kimya miaka 8, huna hata haya. Ina maana hujaona suali ambalo serikali au mbunge mwenzako kalikosea?? bubu awe rais? au mbinafsi awe rais???
Nawasilisha