Wananchi Jimbo la Mpendae Wanufaika na Msaada wa Sikukuu

Wananchi Jimbo la Mpendae Wanufaika na Msaada wa Sikukuu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu.

Viongozi hao wa Jimbo la Mpendae, wamesisitiza kuendelea kuisaidia jamii yenye uhitaji ili nao washereheke sikukuu kwa furaha na upendo.

Zaidi ya wananchi Elfu Moja (1000) wa Jimbo la Mpendae wamenufaika na sadaka hiyo.

WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.55.jpeg
WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.54.jpeg
WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.50.jpeg
WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.47.jpeg
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.53.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.53.jpeg
    112.2 KB · Views: 18
  • WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.51.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.51.jpeg
    148.7 KB · Views: 18
  • WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.49 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.49 (1).jpeg
    106.9 KB · Views: 18
  • WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.49.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.49.jpeg
    130.7 KB · Views: 15
  • WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.48.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.48.jpeg
    131.6 KB · Views: 14
  • WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.46.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-09 at 15.16.46.jpeg
    107.7 KB · Views: 15
Misaada ya kutoa huku unapiga picha ukiwa umekenua haina maana yoyote ile, zaidi ya kujitafutia tu sifa na umaarufu.
 
Back
Top Bottom