Wananchi hatuitaki CHADEMA

Wananchi hatuitaki CHADEMA

Mkuu! naapa kwa jina la mungu wangu. ilibaki kidogo tu niminye kitufe cha Log out halafu nijiregist kwa ID mpya .Halafu ningeporosha tusi kubwa la nguoni na tena...............! bahati nimekuelewa

Jamaa msanii kweli kweli maana amechagua kichwa ambacho kila mtu atakuja kusoma na hasa hawa magamba! Ni vigumu samaki kupisha chambo
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa. Ni miaka hamsini sasa taifa hili halina uelekeo wala dira, Mgogoro mdogo na madaktari tumeshindwa utatua kwa njia yakinifu.

Ni aibu wanafunzi wanendelea kukaa chini bila madawati, hakuna waalimu lakini hawa CCM wanaendelea kuomba ridhaa ya wananchi kutaka kuendelea kutwawala.

Hatuna maji wala umeme wa uhakika, ni aibu Rwanda wametuzidi sana, CCM hawa hawana uongozi wa kitaifa Baba Mwanaasha yeye ni kunywa kahawa na kuendeleza waislam wenzake hata wasio na uwezo Mfano yule Nundu, Mponda, Mkulo na wenginewe si watu wa kudeliver hata kidogo.

Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CCM ni chama dume na maisha bora kwa kila Mtanganyika lol! baba Mwanaasha hebu tupe break.

Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu, lakini wao CCM wamebaki kusema ooohhh tunajitahidi na tunasonga mbele My foot.

Ningewashauri hawa wa chama cha Magamba na mafisadi watuachie nchi yetu tusonge mbele, sera hawana zaidi ya kuapanda mbegu ya chuki na ujinga wa kimapokeo, sasa hivi ni mikakati na NEC waibe kura Arumeru. Sisi wananchi hatutaki chumvi, kofia, kahanga, Tshirt wali na maharagwe siku za uchaguzi na rushwa

CCM is dead party with insane chairman, hatuwataki tena nchini kwetu na nembo yenu ya Kisu na ummma (jembe na Nyundo)

Mwanamtama - Kiluvya
 
Hata mtoto wa mkulima ni muislam?
Sasa hapa wewe unaichukia ccm au unauchukia uislam?
Acha upuuzi wa ubaguzi wa kidini na udini.
So ulitaka baraza lote la mawaziri liwe na wakiristo tupu?
Mbona ktk baraza la mawaziri kuna waislam 32%tuu?
Acha ujinga wako,kama uwezi kuandaa thread ya maana nenda kajipange upya mtoto!
 
Jitambulishe wewe ni dini gani tujue tukufutilie mbali kabisa kwa sababu wewe humu umekuja kuhubiri udini.
 
kama waziri hajaonyesha uwezo hilo halihusiani na dini yake. Tukiingia kwenye dini tutawagusa na wasiohusika. Waislamu hawako serikalini kueneza uislam na wakristo hawako serikalini kueneza ukristo kwa nini tuwapime viongozi kwa kutumia dini zao?
 
Hata mtoto wa mkulima ni muislam?
Sasa hapa wewe unaichukia ccm au unauchukia uislam?
Acha upuuzi wa ubaguzi wa kidini na udini.
So ulitaka baraza lote la mawaziri liwe na wakiristo tupu?
Mbona ktk baraza la mawaziri kuna waislam 32%tuu?
Acha ujinga wako,kama uwezi kuandaa thread ya maana nenda kajipange upya mtoto!

Punguza munkari huyo jamaa kaandika asichokijua, anakurupuka kuandika bila kufanya utafiti wa serikali iliyoko madarakani. Wasira, Mary Nagu, Mizengo Kayanza Pinda, William Lukuvi, John Pombe Maghufuli, Harrison Mwakyembe, Anne Tibaijuka ni baadhi tu Mawaziri wanaounda Serikali na JK ambao ni Wakristu. Hivyo basi hoja yake ni hoja ya kutumwa ili kufunika udhaifu unaojionesha katika baadhi ya vyama vingine vya siasa. Ukubwa jalala bwana, maovu yatafanywa na Vyama vingine na kuhamishiwa katka chama tawala.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa. Ni miaka hamsini sasa taifa hili halina uelekeo wala dira, Mgogoro mdogo na madaktari tumeshindwa utatua kwa njia yakinifu.

Ni aibu wanafunzi wanendelea kukaa chini bila madawati, hakuna waalimu lakini hawa CCM wanaendelea kuomba ridhaa ya wananchi kutaka kuendelea kutwawala.

Hatuna maji wala umeme wa uhakika, ni aibu Rwanda wametuzidi sana, CCM hawa hawana uongozi wa kitaifa Baba Mwanaasha yeye ni kunywa kahawa na kuendeleza waislam wenzake hata wasio na uwezo Mfano yule Nundu, Mponda, Mkulo na wenginewe si watu wa kudeliver hata kidogo.

Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CCM ni chama dume na maisha bora kwa kila Mtanganyika lol! baba Mwanaasha hebu tupe break.

Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu, lakini wao CCM wamebaki kusema ooohhh tunajitahidi na tunasonga mbele My foot.

Ningewashauri hawa wa chama cha Magamba na mafisadi watuachie nchi yetu tusonge mbele, sera hawana zaidi ya kuapanda mbegu ya chuki na ujinga wa kimapokeo, sasa hivi ni mikakati na NEC waibe kura Arumeru. Sisi wananchi hatutaki chumvi, kofia, kahanga, Tshirt wali na maharagwe siku za uchaguzi na rushwa

CCM is dead party with insane chairman, hatuwataki tena nchini kwetu na nembo yenu ya Kisu na ummma (jembe na Nyundo)

Mwanamtama - Kiluvya

Kwenu ni Rwanda ni bora ukarudi kwenu usituletee vita ya kidini Tanzania. Nyinyi Wanyarwanda mmezoea vita tumewakaribisha Tanzania mmeanza kutupima utendaji kazi wetu kwa kigezo cha dini ya mtu. Tukiwachoka tutawarudisha wote kwenu mkaendelee kupigana.

Udini hauna nafasi Tanzania.
 
Hakuna siku ambayo baraza la mawaziri litakuwa la dini moja. Tuwe makini kushambuliana kidini nchi yetu inaweza kuingia kwenye vita isiyo na kikomo kwa sababu ya wadini na wajinga wachache.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa. Ni miaka hamsini sasa taifa hili halina uelekeo wala dira, Mgogoro mdogo na madaktari tumeshindwa utatua kwa njia yakinifu.

Ni aibu wanafunzi wanendelea kukaa chini bila madawati, hakuna waalimu lakini hawa CCM wanaendelea kuomba ridhaa ya wananchi kutaka kuendelea kutwawala.

Hatuna maji wala umeme wa uhakika, ni aibu Rwanda wametuzidi sana, CCM hawa hawana uongozi wa kitaifa Baba Mwanaasha yeye ni kunywa kahawa na kuendeleza waislam wenzake hata wasio na uwezo Mfano yule Nundu, Mponda, Mkulo na wenginewe si watu wa kudeliver hata kidogo.

Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CCM ni chama dume na maisha bora kwa kila Mtanganyika lol! baba Mwanaasha hebu tupe break.

Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu, lakini wao CCM wamebaki kusema ooohhh tunajitahidi na tunasonga mbele My foot.

Ningewashauri hawa wa chama cha Magamba na mafisadi watuachie nchi yetu tusonge mbele, sera hawana zaidi ya kuapanda mbegu ya chuki na ujinga wa kimapokeo, sasa hivi ni mikakati na NEC waibe kura Arumeru. Sisi wananchi hatutaki chumvi, kofia, kahanga, Tshirt wali na maharagwe siku za uchaguzi na rushwa

CCM is dead party with insane chairman, hatuwataki tena nchini kwetu na nembo yenu ya Kisu na ummma (jembe na Nyundo)

Mwanamtama - Kiluvya

Ingawa madai ya kushindwa kazi kwa Mustafa Mkullo, Omar Nundu na Hadji Mponda umewahusisha na uislamu wao lakini umeshindwa kutafuta ukweli kwamba Wizara wanazoongoza ni moja ya Wizara ngumu sana na hadi sasa haijapata kutokea katika kumbukumbu kwamba kuna Waziri wa dini yoyote aliwahi kupita na kubaki salama kwenye kumbukumbu za kitaifa kwamba alifanya maajabu kwenye Wizara hizo.
 
Wacha porojo wewe, tazama madiwani wangapi waliopo sasa, wabunge wangapi? halafu useme wa CCM wangapi na wa vyama vingine vyote wangapi? jibu utalopata ndio utajuwa wananchi tunataka chama kipi.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa. Ni miaka hamsini sasa taifa hili halina uelekeo wala dira, Mgogoro mdogo na madaktari tumeshindwa utatua kwa njia yakinifu.

Ni aibu wanafunzi wanendelea kukaa chini bila madawati, hakuna waalimu lakini hawa CCM wanaendelea kuomba ridhaa ya wananchi kutaka kuendelea kutwawala.

Hatuna maji wala umeme wa uhakika, ni aibu Rwanda wametuzidi sana, CCM hawa hawana uongozi wa kitaifa Baba Mwanaasha yeye ni kunywa kahawa na kuendeleza waislam wenzake hata wasio na uwezo Mfano yule Nundu, Mponda, Mkulo na wenginewe si watu wa kudeliver hata kidogo.

Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CCM ni chama dume na maisha bora kwa kila Mtanganyika lol! baba Mwanaasha hebu tupe break.

Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu, lakini wao CCM wamebaki kusema ooohhh tunajitahidi na tunasonga mbele My foot.

Ningewashauri hawa wa chama cha Magamba na mafisadi watuachie nchi yetu tusonge mbele, sera hawana zaidi ya kuapanda mbegu ya chuki na ujinga wa kimapokeo, sasa hivi ni mikakati na NEC waibe kura Arumeru. Sisi wananchi hatutaki chumvi, kofia, kahanga, Tshirt wali na maharagwe siku za uchaguzi na rushwa

CCM is dead party with insane chairman, hatuwataki tena nchini kwetu na nembo yenu ya Kisu na ummma (jembe na Nyundo)

Mwanamtama - Kiluvya

Umetoa analysis yako kwa mtazamo wako. Ni kweli serikali imeshindwa kudeliver kwa kuacha rasilimali zetu ziporwe na sisi wao (viongozi) kuambulia 'vijisent' ambavyo bado tunaenda kuvificha huko huko.
Ila kuwa makini sana kuhusisha dini na poor perormance ya watu.
Mimi ni mkristu, tena mkatoliki wa kweli na naipenda dini yangu sana. Pamoja na hilo siwezi katu kuhusisha dini yoyote na ufisadi. Kwenye list of shame, angalia ni nani wapo wengi kule! Ni sisi.
Kwenye poor performance, ni wakristu hao hao wameingia mikataba mibovu.
 
Umeharibu kila kitu katika hoja yako kwa kupima utendaji wa kazi za baadhi ya mawaziri na dini yao.
 
Mmeichoka CCM, Jaribuni CDM, ije isimamie Sheria ya Nguvu Kazi na Sheria ya Ufukara, tuone kama mtashinda kwenye Pool Table kuanzia asubuhi mpaka jioni?
 
Edwin Mtei, Prof Mbilinyi, Nalaila kiula, Prof David Mwakyusa, Hussein Mwinyi, Zakia Melgh, Samwel sitta, Prof Mark mwandosya wote hawa wamewahi kuwa mawaziri wa wizara ulizosema lakini baadhi yao hawakuondoka salama kwenye wizara hizo.

Umewahi kujiuliza ni kwa nini baadhi ya mawaziri hawapati misukosuko kwenye wizara zao kama vile wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto, Wizara ya Habari, Utamaduni na michezo au mambo ya nje? sababu ni nyingi mojawapo ni kwamba hazigusi hisia na maslahi ya moja kwa moja ya kila siku ya wananchi walio wengi.

Katika uchumi usicheze na fedha, afya na usafirishaji na uchukuzi ni wizara ngumu na zinazohitaji uwekezaji mkubwa sana ili kukidhi mahitaji ya wananchi.
 
Tuoneshe mambo muhimu kabla ya awamu hii na sasa:

1) Barabara
2) Mashule
3) zahanati na afya
4) vyuo vikuu
5) Utawala bora
6) Uchumi
7) Utalii
8) Demokrasia
9) Mawasiliano
10) Usafiri

Nimekuwekea hayo kumi tu. Utuoneshe ya awamu zilizopita na hii ya sasa ki takwimu, tuone ipi zaidi.
 
Back
Top Bottom