mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
Dah....hapa kila mtu aamini kivyake..ngoja wengine tuamini upo na tujaribu kuwasisitizia jamii yetu, watoto, familia etc...kuwa wakini....ikiwa ni uwongo tutakya hatujaaribikiwa kitu...kuliko kujitia ufahamu kusema haupo kumbe upoUkimwi upo dunia nzima,na hakuna asiyeupata. Na tiba yake ni vyakula tu.
ILA UKIMWI/AIDS unaohubiriwa na WHO na chanzo chake ni uzushi na biashara ya makampuni ya madawa.
Robert Gallo na Luc Montegner na WHO wanalijua hilo.
NB :Akili kichwani, someni waungwana na muelewe Dunia imevaa bukta.
sihitaji maswali .
Ukimwi upo wa kumtosha kila mtu.Wakuu nimekua nikitafakar sana miaka hii ya karibu huu ugonjwa umepotea km sio kukaa kimya na kujifanya km aupo vile kumbe hupo.
Maana sikuizi Magonjwa yanayo tamba kwenye miilinya watu ni SUKARI na PRESHA swali najiuliza UKIMWI umeenda wapi!!!! Mbona wagonjwa awaonekan km zaman.
Unatiba mkuu!!!!Kwa muathirika tu in box
Siku hizi hata ukimuona unaambiwa kabsa huyo kaungua ila ukimcheki ana afya nzuri tu sio kama zamani eti umkute anakohoa, kakonda, nywele zimenyonyoka mara mkanda wa jeshi, siku hizi hamnaga mkuuAchana na wachukia dozi kuna wale wagonjwa unakuta kitaa kizima akipita ata mtoto anajua mgeni akifika anapewa taarifa km ilivyo destur ya uswazi ndio siwaoni hao.
Aisee usijidanganye huu Upungufu wa Kinga Mwilini upo atii,ni vile Serikali na Mashirika yameshift kutoka kutoa awareness kuhusu hiyo kitu,husikii tangazo la UKIMWI wala kipeperushi ni Malaria Matende na Mabusha cjui nn,siku saivi ni Projects za ARV na wanapelekewa huko waliko esp vijijini hukuti wamerundikana CTC kam a zamani,hukuti wanamagonjwa nyemelezi sjui kikohozi kuhara nywele kuteleza na kunyonyoka ,wanajitambua most of them ni wafuasi wazuri wa dawa,ila for sure nenda vjjn wanakopokelea dawa hutatamani tena ngono zembe,maana watu ni wengi mno mno,watu 1000 na zaidi kwa kata si ajabu na hao ni walojitokeza.so elimu bado inahitajika sana sana hasa kwa vijana wa kike na kiume ili kunusuru hali na kwa vizazi vyetu vinavyokuja.
Nakazia hapaUkimwi upo dunia nzima,na hakuna asiyeupata. Na tiba yake ni vyakula tu.
ILA UKIMWI/AIDS unaohubiriwa na WHO na chanzo chake ni uzushi na biashara ya makampuni ya madawa.
Robert Gallo na Luc Montegner na WHO wanalijua hilo.
NB :Akili kichwani, someni waungwana na muelewe Dunia imevaa bukta.
sihitaji maswali .
Mkuu najua matangazo yote ya ngoma yalikunyemelea mpka ukayachukia. Yaan unaangalia tv linakuja tangazo hilo, ukibadilisha unalikuta tena, kwenye redio hivo hivo mpaka kwenye mabango. Inakeraga sanaNilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
Dah siku hizi ni mwendo wa ARV mkuuWakuu nimekua nikitafakar sana miaka hii ya karibu huu ugonjwa umepotea km sio kukaa kimya na kujifanya km aupo vile kumbe hupo.
Maana sikuizi Magonjwa yanayo tamba kwenye miilinya watu ni SUKARI na PRESHA swali najiuliza UKIMWI umeenda wapi!!!! Mbona wagonjwa awaonekan km zaman.
Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.
Aisee niliumwa mfululizo magonjwa yasiyoeleweka, mpaka ikabidi nikubali liwalo na liwe nikaenda kupima.Vile nimekutwa fresh nikapona hapohapo.
Hypochondriasis is real aisee
hatari sana.hahahahaaaa
tusijetekana bure kijinga
mi sio CHADEMA
ila hivyo nlivyo vitaja ni sababu kubwa kabisa ya kuongeza maambukizi
nakumbuka mwaka 2010 UVCCM Mkoa kilimanjaro tulienda kambini West
wavulana 31
wasichana 27
tulikuwa tunachangia mradi kila mtu apate
ila tulivyorudi mjini CHADEMA walishinda
RIP NDESAMBURO
vipi umeshaenda kupima ili ujue hari yako ili hiyo hofu ikutoke?Nilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
hizi foleni huwa wanapanga kwa mtindo gani?tembelea mahospitalini uone watu wanavyopanga foleni za kuchukua dozi
Kuna ex wangu mmoja kila mwezi ananiletea box la Kinga.Tahadhari ni muhimu sana. Bado taifa letu ni changa linahitaji nguvu kazi ya kutosha.
Ukimwi kuupata lazima uwe mkamiaji sanaa... Mtu unapiga kama umeambiwa ule ni mgodi unatafuta dhahabu...Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.
Aisee niliumwa mfululizo magonjwa yasiyoeleweka, mpaka ikabidi nikubali liwalo na liwe nikaenda kupima.Vile nimekutwa fresh nikapona hapohapo.
Hypochondriasis is real aisee
vipi uwa unapasha nae kiporo na hizo hizo kinga?Kuna ex wangu mmoja kila mwezi ananiletea box la Kinga.