Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome
Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa wakiongozwa na Mbunge wao, Eric Shigongo, na kinatarajiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji wa abiria na mizigo katika jimbo hilo
Kivuko hiki ni miongoni mwa vivuko viwili vilivyoombwa na Mbunge Shigongo, ambaye alimuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuwaletea vivuko hivyo kwa ajili ya kuwahudumia wananchi
Mbunge Shigongo alikizindua kivuko hicho Julai 2, 2025
Soma pia: Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa