Hapo sio umasikini bali ni hulka na tabia ya iliyozoeleka na ni nchi za Africa zaidi
Maana unakuta hata mwenye lorry akilinyanyua akaambiwa kuna taa za wizi atanunua bila kujali
Hii ndio Africa na asilimia kubwa ni hivyo haijalishi masikini wala mwenye nazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.