Wananachi wamuogopa kumsogelea simba aliye anguka chini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,109
TANKI LA MAFUTA LIMEANGUKA.jpg


HIYO ITAKUWA TIMU YA WABISHI WA JADI NI DAMU CHAFU HIYO.jpg


HIYO ITAKUWA TIMU YA WABISHI WA JADI NI DAMU CHAFU HIYO
 
Mbona naiona kama Diesel hiyo kama ni Diesel basi Rukhsa haina madhara ila sio kutoboa Tanker wao wageme kwa Utaratibu kila mmoja na zamu yake.
 
Hapo sio umasikini bali ni hulka na tabia ya iliyozoeleka na ni nchi za Africa zaidi
Maana unakuta hata mwenye lorry akilinyanyua akaambiwa kuna taa za wizi atanunua bila kujali
Hii ndio Africa na asilimia kubwa ni hivyo haijalishi masikini wala mwenye nazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom