Wanamtwara mmesahau kuliwa na Simba?

Wanamtwara mmesahau kuliwa na Simba?

Acha ujinga kila zama zina kazi yake.Mwinyi huwezi mlinganisha na Nyerere naye alikuwa na kazi yake,mkapa pia huwezi mlinganisha na Mwinyi pia,hata Kikwete ilibidi afanye kitu exceptional sasa ye katurudisha nyuma,jinga sana.Nyerere kazi yake aliifanya vizuri na kwa dhamira safi japo wapo walioumia kulingana na dhamira yake.Na Tanzania moja ikasimama.Mwinyi kafungulia biashara za ushindani bahati mbaya katika Ruksa yake kila takataka zikaingia,Mkapa akabana dirisha kuanza kuzuia panya kuingia ndani,nashangaa kikwete hata cjui anafanya nini,na mwenye huko Ulaya kakiri kuwa kashindwa kutoa umaskini wa wakulima.Halafu we unasema kafanya maendeleo.Labda familia yenu mmefanyiwa hisani maana mpo wengi ambao mmefanyiwa hisani

Kazi yao wote hao ilikuwa moja, kuongoza nchi. Hakuna cha kila mmoja na kazi yake. Sema kila mmoja na upeo wake, kuna waliotuacha masikini wa mwisho duniani kuna aliyetutoa kwenye umasikini wa mwisho duniani, si unamjuwa nani? Kikwete.

Kuna waalituacha na afaya mbovu hata life expectancy yetu haikuzidi miaka 45 kwa maiaka yaoishirini na waliyotuongoza na kuna aliyetpaisha mpaka miaka 62 kwa maiaka yake 9 tu.

Kuna waliotuacha hatauna hata hifadhi ya chakula na ikitokea hata ukame wa miezi kadhaa tu tunakufa na njaa na kuna aliyetuwekea kwa mara ya kwanza hifadhi ya chakula ya zaidi ya mwaka mzima. Kikwete.

Kunawalituacha hatujuwi utajiri ni nini na wapi tuanzie hata kukopesheka hatukopesheki, kuna anaetuacha tuna mali zisizo na hesabu na si kukopesheka tu tunafatwa kuulizwa "tukukopeshe nini, sema tu bwana".

Hyo ndiyo Kikwet, ka fiti nyanja zote. Kama haujampa sifa yake ni kwa roho yako mbaya tu, lakini ukweli wa mafanikio yake upo wazi kabisa. hakuna wa kabla yake aliyefanya hata nusu ya Kikwete. Open Challenge.
 
Kazi yao wote hao ilikuwa moja, kuongoza nchi. Hakuna cha kila mmoja na kazi yake. Sema kila mmoja na upeo wake, kuna waliotuacha masikini wa mwisho duniani kuna aliyetutoa kwenye umasikini wa mwisho duniani, si unamjuwa nani? Kikwete.Kuna waalituacha na afaya mbovu hata life expectancy yetu haikuzidi miaka 45 kwa maiaka yaoishirini na waliyotuongoza na kuna aliyetpaisha mpaka miaka 62 kwa maiaka yake 9 tu.Kuna waliotuacha hatauna hata hifadhi ya chakula na ikitokea hata ukame wa miezi kadhaa tu tunakufa na njaa na kuna aliyetuwekea kwa mara ya kwanza hifadhi ya chakula ya zaidi ya mwaka mzima. Kikwete.Kunawalituacha hatujuwi utajiri ni nini na wapi tuanzie hata kukopesheka hatukopesheki, kuna anaetuacha tuna mali zisizo na hesabu na si kukopesheka tu tunafatwa kuulizwa "tukukopeshe nini, sema tu bwana".Hyo ndiyo Kikwet, ka fiti nyanja zote. Kama haujampa sifa yake ni kwa roho yako mbaya tu, lakini ukweli wa mafanikio yake upo wazi kabisa. hakuna wa kabla yake aliyefanya hata nusu ya Kikwete. Open Challenge.
Ungekuwa na miaka 20 baada ya miaka hamsini mbele ungeomba kaburi la huyo unayemsifia lichapwe viboko.Tatizo unafikiria leo hufikirii kesho
 
Zile nyumba za London na Dubai unazijuwa? na ile ya mabwepande aiyojengewa hawara? vipi na zile fuso chakavu za millioni 600 umezisahau?

hapo ndiyo bado wanapangisha ofisi za kitaifa za chama kwa baba mkwe!

halafu eti tuwape nchi? mtaota sana nyinyi.

kwi kwi kwi teh teh teh.

Ur General ization doesn't open wide capacity of ur understanding
Mnajua wazi nchi hii si yenu na ya watz nasema Kwa uzalendo sio chama na chama hicho ckijui hata hivyo chadema na watu na sio ofisi kama ilivyo ninyi mnasema ccm mnapokuwa ofsin wenzen wanasema had kwenye daradara nyie mngepigwa mawe
Mneshaur rais kukopa alipe mishahara Kwa sababu pesa hazikuja kutoka na escrow akope fedha za kwenda kuaga ulaya, fedha Za kujilipa yeye wabunge na madiwan Kwa kuwa wa ccm n weng wapate hela Za kutuonga tuwarudishe
Ni aibu Kwa kunywa chai ya ikulu Kwa kubishana na wazalendo jf na kchek pono
Kwa kutegemea gesi yetu wamtwara inauma na wakat tayar ten percent mshakula
Dah kunanina sengerenyuma we we na uko wenu
 
Asante kwa kunithibitishia kuwa hamfanyi mambo kwa maslahi ya taifa ila mnafanya kwa ajili yenu.Huyo.mkapa angekopa kisa dhahabu ipo cjui we ungekopa nini sasa.hivi.Rais hajui kwanini nchi yake maskini atajua nini? Na mkwere wako ndo bye bye na kwa taarifa yako masalia yake yote yanasafishwa.Jitahidi kutunza huto tumali twa dezo ulitofaidi

Hivi wewe ukienda kufanya mambo unafanya kwa maslahi ya nani? na kipi hicho ulichokifanya kwa maslahi ya wengine?

Hata USA wanakopa. Hilo lisikusumbuwe. Wala si tatizo hilo.

Unajuwa ncho zote zilizoedelea duniani unapimwa uwezo wako kwa vipi unakopesheka si vipi ulivyo. - Kumbuka hilo.
 
Nyumba Dubai,London,toa kwa takwimu kama ulivyofanya kwenye gasi,fanya hivi:NYUMBA LONDON MILIONI KADHAA,NYUMBA DUBAI MILIONI KADHAA,PANGO LA UFIPA MILIONI KADHAAA,MIKUTANO YA M4C MILIONI KADHAA,SAFARI ZA VIONGOZI MILIONI KADHAA.Then njoo hapa twambie ni ruzuku ipi wamepewa imefanya vyote hivyo fanya mgawanyo mzuri wa kimahesabu sio kuongea generally.Mbona Kikwete ana kijiji msoga? unataka useme kakwapua?

Ahaa, kwa hiyo ruzuku ndiyo inajenga hizo? Ahsante kwa kutujulisha hilo.
 
Kazi yao wote hao ilikuwa moja, kuongoza nchi. Hakuna cha kila mmoja na kazi yake. Sema kila mmoja na upeo wake, kuna waliotuacha masikini wa mwisho duniani kuna aliyetutoa kwenye umasikini wa mwisho duniani, si unamjuwa nani? Kikwete.

Kuna waalituacha na afaya mbovu hata life expectancy yetu haikuzidi miaka 45 kwa maiaka yaoishirini na waliyotuongoza na kuna aliyetpaisha mpaka miaka 62 kwa maiaka yake 9 tu.

Kuna waliotuacha hatauna hata hifadhi ya chakula na ikitokea hata ukame wa miezi kadhaa tu tunakufa na njaa na kuna aliyetuwekea kwa mara ya kwanza hifadhi ya chakula ya zaidi ya mwaka mzima. Kikwete.

Kunawalituacha hatujuwi utajiri ni nini na wapi tuanzie hata kukopesheka hatukopesheki, kuna anaetuacha tuna mali zisizo na hesabu na si kukopesheka tu tunafatwa kuulizwa "tukukopeshe nini, sema tu bwana".

Hyo ndiyo Kikwet, ka fiti nyanja zote. Kama haujampa sifa yake ni kwa roho yako mbaya tu, lakini ukweli wa mafanikio yake upo wazi kabisa. hakuna wa kabla yake aliyefanya hata nusu ya Kikwete. Open Challenge.

kama umefanyiwa hivyo ni haki yako kumkubali lakini kwa sisi tuliowengi tunatoka chuo tunakaa miaka kadhaa bila ajira inabidi taaluma yako uiweke chini ufanye mambo mengine
 
Ur General ization doesn't open wide capacity of ur understanding
Mnajua wazi nchi hii si yenu na ya watz nasema Kwa uzalendo sio chama na chama hicho ckijui hata hivyo chadema na watu na sio ofisi kama ilivyo ninyi mnasema ccm mnapokuwa ofsin wenzen wanasema had kwenye daradara nyie mngepigwa mawe
Mneshaur rais kukopa alipe mishahara Kwa sababu pesa hazikuja kutoka na escrow akope fedha za kwenda kuaga ulaya, fedha Za kujilipa yeye wabunge na madiwan Kwa kuwa wa ccm n weng wapate hela Za kutuonga tuwarudishe
Ni aibu Kwa kunywa chai ya ikulu Kwa kubishana na wazalendo jf na kchek pono
Kwa kutegemea gesi yetu wamtwara inauma na wakat tayar ten percent mshakula
Dah kunanina sengerenyuma we we na uko wenu

Unaongea kama punguani.

Hao Watazania ndiyo wanaomchaguwa Mtanzania yupi anaewafaa kuwaongoza. Na mpaka sasa si unajuwa wamemchaguwa nani? "chaguo la Mungu".
 
Hivi wewe ukienda kufanya mambo unafanya kwa maslahi ya nani? na kipi hicho ulichokifanya kwa maslahi ya wengine?

Hata USA wanakopa. Hilo lisikusumbuwe. Wala si tatizo hilo.

Unajuwa ncho zote zilizoedelea duniani unapimwa uwezo wako kwa vipi unakopesheka si vipi ulivyo. - Kumbuka hilo.

mm sina ugomvi na deni la taifa,,kinachoniumiza ni kwamba Tanzania inakopa kwa ajiri ya matumizi na si maendeleo...Sasa hapa lazma deni liwe mzigo tu...kama wangekopa kujenga "economic' roads, kujenga viwanda, kuinua kulimo, elimu yenye kumsaidia mtanzania kumudu mazingira yake basi wengi tusingekuwa tunagombana...

shida ya Huyo kiranja Mkuu anakopa kwa ajiri ya BVR, kulipa mishahara, gharama za safari za viongozi, warsha na sherehe za chama na serikari.....ni

hapo mm Ndo kuna shida yangu
 
Unaongea kama punguani.

Hao Watazania ndiyo wanaomchaguwa Mtanzania yupi anaewafaa kuwaongoza. Na mpaka sasa si unajuwa wamemchaguwa nani? "chaguo la Mungu".

Tuna bishana tahira lingekuwa chaguo la mungu Kwa nn aliyemwita hakubak magogn
Kama chaguo la mungu Angepigwa mawe hiv na watz
 
Supersteve, Ramark, Kapotolo 2Geza: Mnamshambulia mchangiaji Faiza kwa vigezo visivyo endana na mada ya originator.
Mleta mada hakuwa anataka kuwalinganisha Nyerere (RIP) na hao waliomfuata! Anatoa hisia zake dhidi ya sera na mambo aliyofanya Nyerere period. Kwa nini tusiishie kuyachambua ya Nyerere bila kuwaingiza na kina Mkapa? Na ndio maana kunajengeka hisia kwamba huyo Nyerere (RIP) hastahili kukosolewa? (RIP Nyerere, lakini tutayasema tu)
 
Weka ushahidi wacha porojo, huwa sikisii.

Mkikosa hoja na ya kuwaingia ndiyo mnakuja na kauli mbiu ya "mdini".

Ukishindwa kuweka ushahidi basi wewe utakuwa ndiyo mdini na fataani na muongo juu.

Nnasubiri.
Bahati mbaya sijui kusearh post zako za nyuma,ila ushaidi
wangu mdogo ni huu,Weka post uliyowahi kuwakosoa kaka zako
mawaziri ambao wamefanya madudu kibao anza na kaka yako jeikei,mzee wa division five,Mzee jumanne...
Badala yake macho yako yanamhandama Julius ambaye ni marehemu.Mbona kwenye hiyo issue ya vijiji vya ujamaa humtaji simba wa vita ambaye alikuwa waziri mkuu,huo si udini?
 
Msome huyu, na yeye anamuandama Julius, bofya tu hayo maandishi utafika:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-alizoea-kuishi-kwa-uongo-na-udanganyifu.html
 
Back
Top Bottom