Wanamtwara mmesahau kuliwa na Simba?

Wanamtwara mmesahau kuliwa na Simba?

Barbarosa

Kwani unafikiri waliotharika na hilo zoezi ni Wanamtwara tu.Si bora kuliwa na Simba kuliko kufa kwa njaa.Baadhi ya mikoa kuna watu walikufa kwa njaa kutokana na hilo zoezi la kuhamishiwa vijiji vipya.

Lakini kumbuka kuwa Mwl.Nyerere alifanya haya yote si kwa kujinufaisha,bali kutaka kuwasogeza wananchi kwenye huduma za Kijamii.

After all,Makongoro hana hata chembe ya uhusika na madhara yaliyowakuta wana Mtwara
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By FaizaFoxy Soma vizuri mada, uelewe nani aliwalisha kwa simba wana Mtwara?
Soma mwenyewe nimekwambia nilishaelewa.Ngoja nikaitafakari Bajeti ya Kikwete deni la taifa limepanda kwa miezi kumi tu kwa trilioni Tano.Ni hatariiiiiiiiii.Kikwete angelea kuwa madarakani baada ya miaka mitano deni alilosababisha JK lingekuwa tr 100
 
Gas sasa hivi tunayo zaidi ya cubic feet trillion 55.

Kwa sasa tunakopesheka mara 1,000 zaidi ya hicho kideni ukionacho na bado hatutokuwa kwenye listi ya wasiokopesheka.

Bajeti swaaaafi kabisa. Hakuna longolongo.

Jee umeona post namba moja, ni nani aliwafanya watu chakula cha simba?

Upo hapo ulipo?
 
Gas sasa hivi tunayo zaidi ya cubic feet trillion 55.Kwa sasa tunakopesheka mara 1,000 zaidi ya hicho kideni ukionacho na bado hatutokuwa kwenye listi ya wasiokopesheka.Bajeti swaaaafi kabisa. Hakuna longolongo.Jee umeona post namba moja, ni nani aliwafanya watu chakula cha simba?Upo hapo ulipo?
Mkwere na akili ya kukopa yaani ukisnza kuvuna gesi yote unaishia kulipa madeni lol poor mkwere.
 
Mkwere na akili ya kukopa yaani ukisnza kuvuna gesi yote unaishia kulipa madeni lol poor mkwere.

Naona hesabu imekupiga chenga. Kikwete anaondoka anatuwachia nchi ina Gas cubic feet zaidi ya trillion 55 amayo bei yale kwa sasa kwa mtumiaji wa US ni dola 9 kwa cubic feet 1,000. Kwa hiyo:

Kadeni kako ulichonacho sasa hivi ni peanuts kwa hesabu hizo. - kumbuka hilo, na bado "exploration" inaendelea.
 
Naona hesabu imekupiga chenga. Kikwete anaondoka anatuwachia nchi ina Gas cubic feet zaidi ya trillion 55 amayo bei yale kwa sasa kwa mtumiaji wa US ni dola 9 kwa cubic feet 1,000. Kwa hiyo:

Thamni ya gas tuliyonayo sasa ni US$ 495,000,000,000 (Dola billion 495) ambazi no sawa na TZS 99,000,000,000,000

Kadeni kako ulichonacho sasa hivi ni peanuts kwa hesabu hizo. - kumbuka hilo, na bado "exploration" inaendelea.

Waliozea kuishi Kwa mazoea hawataweza kubadili maisha ya walio wengi
Waliozoea kuishi Kwa ulongo, ftina, ushabiki, ukibaraka wa ufisadi hawataweza kuwa radical thinkers kwetu Kwa kuwa wanaishi Kwa mazoea
 
Leo house girl wangu anafikiria kununuwa gari.

Ana flat screen yake, ana pasi ya umeme, ana friji ana simu ya mkononi. Miaka 10 nyuma ilikuwa ndoto.
 
Naona hesabu imekupiga chenga. Kikwete anaondoka anatuwachia nchi ina Gas cubic feet zaidi ya trillion 55 amayo bei yale kwa sasa kwa mtumiaji wa US ni dola 9 kwa cubic feet 1,000. Kwa hiyo:Kadeni kako ulichonacho sasa hivi ni peanuts kwa hesabu hizo. - kumbuka hilo, na bado "exploration" inaendelea.
Najua hisabati nitashindwa hesabu? Gas iachwe kwa kizazi kijacho,kwani nao watahitaji kuiendeleza nchi.Ye atumie Rasilimali zilizopo sasa ye anatumia zilizopo na anakwangua za badaye sasa watawala wanaofuata watatumia nini? Usione gas zinasoma macubic meng basi unatoa ulimi nje na kubweteka eti gas ipo.Hawa ndo wakipata pesa wanaenda kuongeza mke
 
Kizazi kijacho watakuwa na nishati zingine, elimu inakuwa, leo wewe huna kitu eti uwache kiazi kijacho, ulichonacho leo tumia vizuri kwa faida yako na ya wajao.

Ukae taabani utakuwa nacho hata hicho kizazi? fikiri.
 
Leo house girl wangu anafikiria kununuwa gari.

Ana flat screen yake, ana pasi ya umeme, ana friji ana simu ya mkononi. Miaka 10 nyuma ilikuwa ndoto.

Mabadilko hayahitaj siku nzima yanahitaj dk tu, kiongoz na kama hutojiandaa vema kabla ya mumeo kwenda msoga utalia

Hapa kwetu na mtwara yetu lazima tuheshimiane tu mtwara si kwetu lakin nitakufa nao mpaka mwisho
Wewe na wenzio kina michuz lazma jela iwahusu bila kumsahau kaka yenu gulumo mliye mficha
Nahakikisha mtwara kupambazuka kabisa na umande umeisha wakat huo wewe haupo na wenzio
Naenda kumrudisha balali hapa mzima, maiti au mifupa yake
Stay tune
 
Leo house girl wangu anafikiria kununuwa gari.Ana flat screen yake, ana pasi ya umeme, ana friji ana simu ya mkononi. Miaka 10 nyuma ilikuwa ndoto.
Una fikira duni.kweli Faizafoxy,Hata wakati wa Uhuru hakuna mtu alikuwa ana uwezo wa kujenga Ghorofa 12 lkn sasa zinajengwa,ni matter of time tu sio kwa sababu ya utawala uliopo.Utawala uliopo eti unafikiria kukopa kisa kuna rasilimali za kutosha,je miaka mia sita ijayo watatumia nini kama tayari mmeshawasababishia madeni.Mkapa alishusha ukubwa wa madeni sijui huyu katokea wapi katutia kwenye madeni lukuki.Deni hata liwe dogo vipi anatakiwa apunguze wala sio kuongeza
 
Huyu Faiza ana akili kama za Zakia Meghi yule waziri wa kuhongwa uwaziri wa fedha kisa ana ukoo na Kikwete.
 
Kizazi kijacho watakuwa na nishati zingine, elimu inakuwa, leo wewe huna kitu eti uwache kiazi kijacho, ulichonacho leo tumia vizuri kwa faida yako na ya wajao.Ukae taabani utakuwa nacho hata hicho kizazi? fikiri.
Ujinga mzigo,Kwanini tusitumie dhahabu,kama kizazi kijacho watatumia nishati nyingine je hii gas unayosema ndo imegundulika unataka useme badaye haitatumika na kama haitatumika kwanini utumie kukopa?
 
Una fikira duni.kweli Faizafoxy,Hata wakati wa Uhuru hakuna mtu alikuwa ana uwezo wa kujenga Ghorofa 12 lkn sasa zinajengwa,ni matter of time tu sio kwa sababu ya utawala uliopo.Utawala uliopo eti unafikiria kukopa kisa kuna rasilimali za kutosha,je miaka mia sita ijayo watatumia nini kama tayari mmeshawasababishia madeni.Mkapa alishusha ukubwa wa madeni sijui huyu katokea wapi katutia kwenye madeni lukuki.Deni hata liwe dogo vipi anatakiwa apunguze wala sio kuongeza

Hapana. Si fikra duni, hata baada ya Uhuru thubutu ujenge ghorofa, hukuona wenzako walivyodhulumiwa hata ujenge?

Hujaona juzi nimeweka nyuzi serikali imekiri kudhulumu watu enzi hizo?

Utawala bora ndiyo unaleta hayo yote, si uwezo.

Zama hizo za dhulma, friji, simu ya nyumbani, oasi ya umeme vilikuwa ni vitu "luxury", hata TV hatukuruhusiwa mpaka alivyokuja mwinyi. Ulikuwa ni utawala mbovu tu.

Wakati wa Kikwete ndiyo kabomoa misingimyote hiyo ya kijingajinga, etis shule mpaka uchaguliwe! Khaa! bomoa bomoa weka misingi mipya ya kujiendeleza, ndiyo maana unaona pengine hata wewe ni wa kwanza kwenye ukoo wenu kumudu gari lako binafsi. Muulize babuyo na bibiyo kama walikuwa ahta na ndoto hizo kijijini kwenu huko.
 
Mabadilko hayahitaj siku nzima yanahitaj dk tu, kiongoz na kama hutojiandaa vema kabla ya mumeo kwenda msoga utalia

Hapa kwetu na mtwara yetu lazima tuheshimiane tu mtwara si kwetu lakin nitakufa nao mpaka mwisho
Wewe na wenzio kina michuz lazma jela iwahusu bila kumsahau kaka yenu gulumo mliye mficha
Nahakikisha mtwara kupambazuka kabisa na umande umeisha wakat huo wewe haupo na wenzio
Naenda kumrudisha balali hapa mzima, maiti au mifupa yake
Stay tune

Zile nyumba za London na Dubai unazijuwa? na ile ya mabwepande aiyojengewa hawara? vipi na zile fuso chakavu za millioni 600 umezisahau?

hapo ndiyo bado wanapangisha ofisi za kitaifa za chama kwa baba mkwe!

halafu eti tuwape nchi? mtaota sana nyinyi.

kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Hapana. Si fikra duni, hata baada ya Uhuru thubutu ujenge ghorofa, hukuona wenzako walivyodhulumiwa hata ujenge?Hujaona juzi nimeweka nyuzi serikali imekiri kudhulumu watu enzi hizo?Utawala bora ndiyo unaleta hayo yote, si uwezo.Zama hizo za dhulma, friji, simu ya nyumbani, oasi ya umeme vilikuwa ni vitu "luxury", hata TV hatukuruhusiwa mpaka alivyokuja mwinyi. Ulikuwa ni utawala mbovu tu.Wakati wa Kikwete ndiyo kabomoa misingimyote hiyo ya kijingajinga, etis shule mpaka uchaguliwe! Khaa! bomoa bomoa weka misingi mipya ya kujiendeleza, ndiyo maana unaona pengine hata wewe ni wa kwanza kwenye ukoo wenu kumudu gari lako binafsi. Muulize babuyo na bibiyo kama walikuwa ahta na ndoto hizo kijijini kwenu huko.
Acha ujinga kila zama zina kazi yake.Mwinyi huwezi mlinganisha na Nyerere naye alikuwa na kazi yake,mkapa pia huwezi mlinganisha na Mwinyi pia,hata Kikwete ilibidi afanye kitu exceptional sasa ye katurudisha nyuma,jinga sana.Nyerere kazi yake aliifanya vizuri na kwa dhamira safi japo wapo walioumia kulingana na dhamira yake.Na Tanzania moja ikasimama.Mwinyi kafungulia biashara za ushindani bahati mbaya katika Ruksa yake kila takataka zikaingia,Mkapa akabana dirisha kuanza kuzuia panya kuingia ndani,nashangaa kikwete hata cjui anafanya nini,na mwenye huko Ulaya kakiri kuwa kashindwa kutoa umaskini wa wakulima.Halafu we unasema kafanya maendeleo.Labda familia yenu mmefanyiwa hisani maana mpo wengi ambao mmefanyiwa hisani
 
Ujinga mzigo,Kwanini tusitumie dhahabu,kama kizazi kijacho watatumia nishati nyingine je hii gas unayosema ndo imegundulika unataka useme badaye haitatumika na kama haitatumika kwanini utumie kukopa?

Wewe toka lini ukajuwa matumizi ya dhahabu? unayo dhahabu enzi na enzi mbona haikukusaidia kitu. Licha ya dhahabu una kila aina ya utajiri, wala hauujuwi ulipo unausikia tu magazetini. Wacha tuliong'amuka mapema tuneemeke. Wewe bado kaa ulale.

Amma kwa hakika usimwamshe aliyelala utalala wewe.
 
Zile nyumba za London na Dubai unazijuwa? na ile ya mabwepande aiyojengewa hawara? vipi na zile fuso chakavu za millioni 600 umezisahau?hapo ndiyo bado wanapangisha ofisi za kitaifa za chama kwa baba mkwe!halafu eti tuwape nchi? mtaota sana nyinyi.kwi kwi kwi teh teh teh.
Nyumba Dubai,London,toa kwa takwimu kama ulivyofanya kwenye gasi,fanya hivi:NYUMBA LONDON MILIONI KADHAA,NYUMBA DUBAI MILIONI KADHAA,PANGO LA UFIPA MILIONI KADHAAA,MIKUTANO YA M4C MILIONI KADHAA,SAFARI ZA VIONGOZI MILIONI KADHAA.Then njoo hapa twambie ni ruzuku ipi wamepewa imefanya vyote hivyo fanya mgawanyo mzuri wa kimahesabu sio kuongea generally.Mbona Kikwete ana kijiji msoga? unataka useme kakwapua?
 
Wewe toka lini ukajuwa matumizi ya dhahabu? unayo dhahabu enzi na enzi mbona haikukusaidia kitu. Licha ya dhahabu una kila aina ya utajiri, wala hauujuwi ulipo unausikia tu magazetini. Wacha tuliong'amuka mapema tuneemeke. Wewe bado kaa ulale.Amma kwa hakika usimwamshe aliyelala utalala wewe.
Asante kwa kunithibitishia kuwa hamfanyi mambo kwa maslahi ya taifa ila mnafanya kwa ajili yenu.Huyo.mkapa angekopa kisa dhahabu ipo cjui we ungekopa nini sasa.hivi.Rais hajui kwanini nchi yake maskini atajua nini? Na mkwere wako ndo bye bye na kwa taarifa yako masalia yake yote yanasafishwa.Jitahidi kutunza huto tumali twa dezo ulitofaidi
 
Back
Top Bottom