Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Ningekuwa ni mwana Mtwara ile kumuona tu Bw.Makongoro Nyerere ningeweza hata kuzimia huyu Bwana na anavyofanana na Baba yake Mlm.Nyerere (,,Apumzike kwa Amani") ingenikumbusha mambo mabaya sana yaliyowahi kutokea nchini mwetu chini wa Utawala wa Baba yake!
Kuhamishwa watu kutoka vijijini kwao na kupelekwa vijiji vipya ambavyo vilikuwa havijaandaliwa ipasavyo hali iliyopeleka Wananchi wengi wa Mtwara kupoteza Maisha kwa kuliwa na Simba ni ajabu jamaa yule yule ambaye wakati mnaliwa na Simba yeye alikuwa Magogoni na Msasani anakula bata leo anaomba idhaa kwenu mmpe urais!
Ningekuwa mimi ningemfukuzilia mbali!