GE2025 Wanamtandao na Yanga ni mapacha?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nje ya mada, kushabikia
Mpira ni burudani, mpira ni hisia,

Mpira hukutanisha makundi ya aina mbalimbali,
Wanachama kutoka vyama mbalimbali na wasio na vyama,
Chama kimoja kinapoingiza siasa kwenye mpira, inakera na kujenga hasira,
Hivi na ulaya, Amerika ya kusini, au Asia wanaleta siasa kwenye team za vilabu na taifa?
 
Wee em tutolee upuuzi wako huko! Takadini alisha sema, utopoloni wenye akili ni wawili tyuuh, na aliwataja, wee hauko.

Em tulizana mpumbavu weyee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naunga mkono hoja
 
Acheni nyumbu waitwe nyumbu......hizo ndo akili zao🀣🀣🀣
 
Umepiga kwenye mshono
 
YANGA ni club ya taifa!! Ni vile tunajaribu kubalance ili mbumbumbu fc aka misukule aka Aviola wasijione wanyonge 🀣🀣🀣🀣
 
Yanga ni CCM mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…