Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
mzunguko vitanihusu leo hamna namnaV.I.P. A TSH. 30,000 V.I.P. B TSH 20,000 MZINGUKO: TSH. 5,000.
mzunguko vitanihusu leo hamna namnaV.I.P. A TSH. 30,000 V.I.P. B TSH 20,000 MZINGUKO: TSH. 5,000.
Mpumbavu ni mtu anayedeal na typo errors na kupuuza stakabadhi kama ndio proof ya manunuzi/matumizi ya pesa kwenye taasisi yeyote.Risiti ya nini, na neno Akuli timamu linasimamia nini?
Ila kwenye kiclub bora Tanzania, jana mchezaji alitaka kugoma, akidai malipo.Mpumbavu ni mtu anayedeal na typo errors na kupuuza stakabadhi kama ndio proof ya manunuzi/matumizi ya pesa kwenye taasisi yeyote.
Sidhani kwenye hilo liclub lenu bovu kama kuna utaratibu wa Auditing.