Wanamna hii mko wengi

Wanamna hii mko wengi

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BdX_ZioIMAA6G4-.jpg:large
 
Hii tunaita chepuko kutoka nje ya njia kuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hapo ni sawa unafanya voda ila namba yako ya mawasiliano Tigo.
 
Michepuko ni muhimu isee sio kila siku ladha ile ile.
 
Kuna siku nilienda kwenye stesheni za Radio MOJA, kufika mapokezi nikakuta Dada aliyekuwepo hapo anasikiliza REDIO YA WATU. Nikashangaa sana!
 
mamluki tupoooooo!!!!! NIIIPOOOOO (hiii umenjibu kumbe na wewe mamlukii) BAKI NJIA KUU
 
Back
Top Bottom