WanaMMU barak llyd

WanaMMU barak llyd

Wakuu msinichanganye mbona nipo kazini na saumu yangu? au nyie ni wale tunaopishana siku tusibadilishane imani. mimi na sali Eid na BKT kwani tangazo limetoka saa ngapi maana mwezi sikuuona na nimepiga simu mikoani nikaambiwa hawajauona. nasikia Saudia wanasali kesho. Mkuu umetumia kigezo kipi. HATA HIVYO EID NJEMA.
 
Mkuu hayo makitu kibongo bongo ni hoteli (kubwa) tu!
Wako na watu wachache wanaoweza kutengeneza hasa waliosomea upishi!

Jerry inaelekea unapenda sana hayo makitu. Arent you?



Nzuri sana hasa za mushroom, sidhani kama ni complex sana kuzipika mkuu hata ukiingia you tube unaeza pata maelezo
 
Hii dini yenu imejaa ubabaishaji mnatuchanganya tu.

Kaka usiseme hivyo ,unaikosea dini yetu.kikubwa hapa wewe hujaelewa y wengine wanafungulia Leo na wengine kesho na hili liko sawa na nyinyi pale tutakapozungumzia siku za kusali .sabato wanasali jumamos, roman wanasal jumapil hivi kwa hili tukisema nyinyi ni wababaishaji si itakuwa tunawatusi? IDD mubaraik
 
Check n balance......nahitaji suruali ya jeans kiuno 30,hips 47.

jeans.jpg
 
Wakuu msinichanganye mbona nipo kazini na saumu yangu? au nyie ni wale tunaopishana siku tusibadilishane imani. mimi na sali Eid na BKT kwani tangazo limetoka saa ngapi maana mwezi sikuuona na nimepiga simu mikoani nikaambiwa hawajauona. nasikia Saudia wanasali kesho. Mkuu umetumia kigezo kipi. HATA HIVYO EID NJEMA.

Mkuu muandamo wa ramadhani mara hii ni kuwa Saudia wamefunga pamoja na Tz! But ukiachia saudia mwezi ulionekanaaaa... (nimepasahau!) na kama mada inavyoeleza kwamba mwezi ni mmoja na kuna Muslim wanafunga kwa popote pale utakapoonekana mwezi (sio lazima saudia!) kwa mantiki hiyo ni kwamba sisi jana ni siku ya 30! Hivyo hata sikufatilia mwezi wa idi umeonekana wapi, nnachojua haiwezekani kufunga ramadhani 31!

Barikiwa. Inshaallah!
 
Back
Top Bottom