Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Sidhani kama sioNi watanzania au?
Hizi picha nmekula nikiziona Fb ..watu wote wanao comment wanacoment negatives tu..hivi huyo Bonge hana haki ya kupendwa kama watu wengine!!?love doesn't ask why bhana mwacheni Bonge wa watu ajilie..
Umejuaje?Hapo hakna mapenz Bali ni njaa, bint kafata kitu na sio mapenz!
Pengine nikibam.. So hapo binti aisia kunyenyua uzito wa 120kg body weight ya BongeDuuh kweli wembamba wa reli..