Mahitaji makubwa Kilungule Mwisho

Mahitaji makubwa Kilungule Mwisho

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
2,608
Reaction score
2,064
Eneo hili linahitaji , 1- shule ya Msingi. 2- Kituo cha Afya , 3- Kituo cha Polisi.

Wananchi, wa eneo hili kwa ujumla wapo Kisiwani, licha ya kuwa katika jiji la Dar es Salaam lkn hadhi ya kihuduma eneo lao ni duni mno.

Shule ya Msingi watoto wanatembea na kudandia lift za bajaji kwa Mwendo mrefu wakifuata shule eneo la NZASA.

Lipo eneo linalomilikiwa na mtu, ni eneo kubwa ni serikali kuridhiana na mmiliki wa eneo lile kisha kuokoa watoto kwa kujenga Shule eneo lile.

Kituo cha Polisi, nadhani kituo kilichopo Kinafahamika kwa WANANCHI wachache mno na hakina HADHI. Hii ni huduma inayopaswa kuwepo kila palipo na WANANCHI. kama wanavyojieleza na mustakabali wa kazi zao USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO.

kituo Cha Afya liwepo, huduma hii, wananchi wanaifuta mbali pia.kila sherehe zetu zile za makelele na kuvaa nguo zinazofanana fanana basi tuwe tunaimba shida zetu kwa hao viongozi

Tuache Mambo ya "WANAMEREMETA" ishapitwa na wakati. Mwisho wa siku TUANGALIE SURA ZAO. WANATUFAA.
 
Huko mlichagua CUF miaka yote akitegemea nini?

USSR
 
Huko mlichagua CUF miaka yote akitegemea nini?

USSR
Unatuonea , miaka yote DIWANI, MBUNGE wote ni chama tawala.
Lkn sote ni WATANZANIA mahitaji yetu ni sawa .
Kumbuka maadui wa Taifa ni 1- ujinga 2- Maradhi 3- umaskini

Maendeleo hayana chama
 
Kuna eneo lipo barabarani jiran na kituo Cha kwa Bibi nadhan linamilikiwa na mwanariadha wa zaman bwana juma. Ikangaa kwasasa mkandaras wa barabara analitumia

Pia nimeona kuna baadh ya nyumba zmefanyiwa tathmin Bado hazjalipwa nilipouliza nikaambiwa manispaa in mpango wa kuwalipa wamiliki ili ijengwe shule Kama watawalipa bas lile eneo n salama Zaid kwan lipo mbali na barabara lakn like eneo lipo kata ya charambe na si kilungule
 
Vp diwani wenu said fella
Si anawasaidia sana

Ova
 
Vp diwani wenu said fella
Si anawasaidia sana

Ova
Tatizo la huduma za kijamii kwa upande wa kilungule linahusisha kata mbili yaan kata ya charambe na kata ya kilungule yenyewe na wakaz walioweng wenye uhitaj wa huduma hizo hasa shule na zahanati n wakaz wa kilungule mwisho na mtaa wa barabara ya mwinyi ambayo ipo charambe lakn imepakana na kata ya kilungule

Kwa hyo tatizo hili inabid kata zote mbili zikae chini na kukubaliana namna nzur ya kupata huduma hiz




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom