Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
huwa tunawatuma waseme kwa niaba yetu.Nisaidieni jamani...Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!Ni kweli wao ndio walimaji?
huwa tunawatuma waseme kwa niaba yetu.Nisaidieni jamani...Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!Ni kweli wao ndio walimaji?
WOS
neno kilimo kwanza kwenye jukwaa la mmu
linamaanisha kitu kingine,thats why
tunaguna
kilimo kwanza=kulima mashambani
kilimo kwanza=sex
kilimo kwanza=kunywa pombe
kilimo kwanza=kupiga soga
the list is endless
huwa tunawatuma waseme kwa niaba yetu.
Kumbe upo huku? Nilikuwa nakutafuta!mbona tunasikia kila siku mkijigamba ya kuwa mnaweza...............kumbe ni debe tu ambalo haliachi kutika.................................jivueni gamba na mkiri hadharani kuwa hamuwezi......ili muendelee kututuma tuwasemee....................
huwa tunawatuma waseme kwa niaba yetu.
Kilimo gani unachokizungumzia? imeniwia ngumu kuelewa haswa ninapojaribu kurelate na mahusiano!Nisaidieni jamani...Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!Ni kweli wao ndio walimaji?
Kilimo gani unachokizungumzia? imeniwia ngumu kuelewa haswa ninapojaribu kurelate na mahusiano!
Hata mie ndipo huko nilipokuwepo ktk tafsiri kumbe mambo ya chumbani duh! Kweli WomanofSUBSTANCE katuweza! Jibu: wANAJUA SANA KULIMA!Ayaaaaaa mi nimeingia chaka nikajua kilimo kwanza ya Mizengwe Kayanza dah kumbe kilimo cha kunako lol
Hata mie ndipo huko nilipokuwepo ktk tafsiri kumbe mambo ya chumbani duh! Kweli WomanofSUBSTANCE katuweza! Jibu: wANAJUA SANA KULIMA!
Kilimo kwanza kwa wababa wengi siku hizi hawawezi kabisa, kila kitu wamewekewa ila inashangaza mashamba yana magugu kibao hakuna hata wa kupalilia
Nadhani anamaanisha Kilimo KwanzaUnamaanisha kilimo kipi ndugu?
M nashangaa shamba kubwa la nini wakati kilimo huwezi...bora uwakatie wenzio nao walimehapo sasa!!
Wanamiliki mashamba, kupalilia zero! Wamama nao wamechoka kuwa vibarua lol
Nifafanue nini? Mambo mengiwa yapo ki vitendo zaidi. Nipe ruksa teh! teh! teh!Fafanua
M nashangaa shamba kubwa la nini wakati kilimo huwezi...bora uwakatie wenzio nao walime
Ni vizuri uelewe kuwa kilimo kwanza ni kauli mbiu ya serikali yenye lengo la kuboresha kilimo nchini na kuwaweesha wakulima kupata tija kupitia mazao wanayozalisha '' hivyo walengwa ni wananchi wote kwa ujumla kwa kuzingatia kuwa uchumi wa tanzania unategemea kilimo'' kimsingi haijalishi ni mwanaume au mwanamke wote kwa ujumla wanao wajibu wa kushiriki kikamilifu katika kufanikisha jukumu hili '' lakini utafiti unaonyesha kuwa wanawake ndio wanawajibika zaidi katika zoezi hili na jitihada zinahitajika kuelimisha jamii ili jinsia zote ziweze kushiriki kikamilifu ili tuweze kujiletea maendeleo yetu wenyewe ,sanjari na kukuza uchumi wa nchi.
hapo sasa!!
Wanamiliki mashamba, kupalilia zero! Wamama nao wamechoka kuwa vibarua lolM nashangaa shamba kubwa la nini wakati kilimo huwezi...bora uwakatie wenzio nao walimeNisaidieni jamani...
Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!
Ni kweli wao ndio walimaji?
Vijembe vyenyewe butuuuuu aaarrrrrggggyaani! na kila leo kupanua mashamba tu. Bei za pembejeo nazo hazishikiki!
Zana zenyewe za kilimo...duni za kizamani sana