Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za jumapili nyote,
Kwa majina naitwa Kasinde aka Kasie aka nyonda ake dadii heheheh.
Naanza na tabasamu maana ndo lililojaa usoni. Iko hivii......
Leo asubuhi kwenye saa moja na nusu hivi nikasikia kengele ya mlango inaita.... mmmhh nikajiuliza asubuhi hii nani huyu? Basi nikaeleka mlangoni kufungua huku nikiwa nimevaa house coat sijui kwa kiswahili linaitwaje maana nilikuwa bado sijaamka.
Basi ile kufungua mlango nakuta ni kijana kanisalimia kisha kaniambia huu mzigo ni wako nimwambie nikuletee ila naomba uweke sahihi yako hapa kuwa umepokea mzigo. Basi nikasaini kisha nikapotea mzigo ilikuwa ni bunch of flowers kwa kiswahili nikisema kifundo cha maua sijui nakuwa nimepatia au nimepoteza maana. Haya, kwanza yananukia nikaanza kuyanusa hapo huku nikitabasamu nikafunga mlango wangu nikiwa naelekea sebuleni nikafunga bahasha iliyokuwa juu ya maua oooh maua yametoka kwa dadii ake Kasie woooow nikajikuta nimetamka thank you dadii.
Ndani ya bahasha hiyohiyo yenye kadi nikakuta flash nikakimbia kwwnye runinga nikaiweka loooh..... sio kwa mahaba haya jamani.
Kuna wimbo ameni dediketia nami nauweka hapa muusikilize mdundo maneno ujumbe daaah hadi chozi limenitoka kwa furaha yaani.
Wimbo uko kimahaba hadi najiona nimerudi kuwa na miaka 18 looh hehehehehehehehee.
Dadii amenikumbusha mahaba ya enzi zetu tukiwa tunasoma ilikuwa mkiandikiana barua pale chini unaweka na wimbo kama dedication kusindikiza ujumbe uliotuma.
What should I say...... I love you dadii and Am Ready..... mmuah! !
Ngoja niwaulize wadada, hivi mpenz wako akikutumia wimbo huu utajisikiaje.....
Mie mahaba ndo yameamka hapa wiki yote kuanzia leo ntakuwa ndo wimbo wangu nausikiliza huku nikiwaza jinsi nkatavokuwa namuimbia mtoto wangu na dadii tangu akiwa tumboni.
Thank you so much dadii uncle wake Lawre.... mmmuuaahhh.
Huyo si Kasie bali ni mfano wa Kasie alivokuwa pale nilipopokea maua kutoka kwa dadii...
Kasie mahabat nyonda ake dadii.