Wanakutamani Kasie Wangu....

Wanakutamani Kasie Wangu....

Usihofu, burudika na kawimbo na nina uhakika huyo future wako lazima akuongezee mahaba baada ya kum dediketia huu wimbo.

Kila la kheri.
Mungu aweke baraka zake hapo asee maana nahitaji hayo mahaba kama nina njaa ya wiki
 
Mungu aweke baraka zake hapo asee maana nahitaji hayo mahaba kama nina njaa ya wiki

Hehehehehehee haya nikutakie mahaba mema, kila la kheri na baraka za Mungu zile nawe na uwe na nia njema na huyo unayemnuia isijekuwa unamtamani tuu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom