Haya bhana endelea kuuburudisha moyo na masapraizi ya dadii wako.![]()
I wish I cud be richmavoko!
Niokote hii dhahabu chini ya mpera [ emoji23]![]()
Ha ha ha ha! Umenifanya nipaki gari kwanza nicheke kwahiyo ulivogongwa na dadii maumivu yote yalipoozwa kwa takribani milioni tano!! Daah kweli dadii ni noumaa!Hahahahaaa dadii ni kituo bin nukta. Kasie ndo kafika Kigoma mwisho wa reli hapana chezea dadiii.
Umenikumbusha siku aliponigonga na gari lake kwa makusudi halafu akanitupia kitita cha dola 2000 mapajani. Kwakweli sapraizi za dadii mie mwenyewe nyoronyoroo. Acha niendelee kula raha za dadii tuu hakuna namna.
Huku Nanjilinji ukimuimbia anabaki amekodoa macho! anawaza Huyu Jamaa amechanganyikiwa nini......Hahahahaaa Ngushi usinifurahishe...... wee uchukue huu wimbo ukariri hayo maneno jioni mtokee mahabat wako huku ukimuimbia huu wimbo hata kama sauti yako ni ya debe nakwambia atakukumbatia na kukupa busu la bashasha.
Kazi kwako kwa haya maneno ya huu wimbo bila hata hela unapewa mzigo kiroho safii. Wanawake tunapendaga vitu kama hivi.
Huku Nanjilinji ukimuimbia anabaki amekodoa macho! anawaza Huyu Jamaa amechanganyikiwa nini......
Hawako romantic kabisa
Ha ha ha ha! Umenifanya nipaki gari kwanza nicheke kwahiyo ulivogongwa na dadii maumivu yote yalipoozwa kwa takribani milioni tano!! Daah kweli dadii ni noumaa!
Daaah! Kwanza nimefurahi kunikumbuka Kasie the Great... Pili kunipa uzi flani hivi amazing Dadii! Poa ngoja niuchekiNimepotea nilikuwa nautafuta huu uzi hatimaye nimeupata, haya fatilia humu ilikuwaje sijui kama hiyo link itafunguka au laah.
Ukinitibua Nami Nakutibua
Isipofunguka tafuta uzi niliouanzisha as kasinde kichwa cha uzi... Ukinitibua nami Nakutibua. Humo ndo utayaona matusi ya dadii hehehehe ati hadi ukapaki gari pembeni ucheke hahahahahahaa haya nishukuru kwa kukupa cheko mwanana.

Asante kwa kukavujisha haka kawimbo kwangu.
Ngoja nikapakue kisha nimtumie kati mmoja yao, yule ambae ndio naiona future yangu nikiwa nae.
wanakuja wengi wengi vuta subra bibieWakina nani? Wakwapi?
Na wasije wabakie hukohuko. Dadii yangu ameshaniasa. ...... wananitamani tuu hao hawana issue nami. Nami hata siwasikilizi na wala wasijisumbue kuja wabakie hukohuko maana hata sitowasikiliza.wanakuja wengi wengi vuta subra bibie
tupia na picha basi bibieNa wasije wabakie hukohuko. Dadii yangu ameshaniasa. ...... wananitamani tuu hao hawana issue nami. Nami hata siwasikilizi na wala wasijisumbue kuja wabakie hukohuko maana hata sitowasikiliza.
I love my dadii so much. Many kisses to my dadii..... mmmmuuuahhhh! !
tupia na picha basi bibie