Ningeweka hiyo sehemu niliyoacha je si ungeomba ipelekwe Jukwaa la Maria.Kha kha kha kha!
Leo hupati unyumba umeongea matusi.
tena na wewe mwenyewe ningekupa talaka 1 ya kujirekebisha. Lol.Ngoja nikajitibu huyo mdudu. Byeeee..Ningeweka hiyo sehemu niliyoacha je si ungeomba ipelekwe Jukwaa la Maria.
Kwa waliokuwepo mwanzoni mwa mwaka niliweka hapa kichekesho kuhusu 'ripoti ya Mwaka' niliyotumiwa na mfanyakazi mwenzangu wakike mwenye utani sana,sasa kanitumia sms nyingine kuhusu serikali inavyokosea kuthibiti Ukimwi.
'NYEGE' ni mdudu hatari asiyeonekana na kuishi katika mwili wa binadamu (..........)-hapo nimeacha kwa ajili ya maadili,cha ajabu serikali inapigana na Ukimwi na kutumia hela nyingi na watu wanazidi kufa na muda unaenda,hivi kwanini serikali isianzishe kampeni ya kuteketeza mdudu huyu hatari 'NYEGE' anayesababisha yote haya ?
Tafakari na uokoe maisha ya watu.
Vinapunguza nguvu za kiume,husababisha joto na pia vinakemikali zinazoweza kudhoofisha mwili wa binadamu!! Malaria haikubaliki!!!!
- Mimi ndo maana naogopa kutumia vyandarua vyenye dawa, mmmmh inaelekea ndugu yangu Nzowa uko karibu na ukweli kabisa.
- Mimi ndo maana naogopa kutumia vyandarua vyenye dawa, mmmmh inaelekea ndugu yangu Nzowa uko karibu na ukweli kabisa.
hilo jukwaa liko wapi,nalitafuta sanaNingeweka hiyo sehemu niliyoacha je si ungeomba ipelekwe Jukwaa la Maria.