Wanakagera tutarajie nini ziara ya Rais Magufuli kesho tarehe 18/01/2021

The Great Haya

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,731
1,642
Leo katika vyombo vya habari hapa mkoani Kagera imeripotiwa ziara ya Mheshimiwa rais katika mkoa wa Kagera kuanzia tarehe 18 hadi 19.

Katika taarifa aliyoitoa mkuu wa mkoa amesema rais ataweka jiwe la msingi katika chuo cha VETA Kagera na kuzindua shule ya sekondari Ihungo, baadae ataelekea wilayani Karagwe.

Je, Wanakagera tutarajie kipi kutoka kwa Mheshimiwa au ndio tutaambulia matusi tena
 
Back
Top Bottom