wanajukwaa nisaidieni,

lipi neno sahihi kati ya dadafua na dadavu.

Kudadavua ni "uchambuzi wa kina" au maelezo yaliyo pangwa kwa ufanisi wa hali ya juu!

Na Dadafua. Halina maana ktk kamusi yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…