Wanajiita wa Kimataifa

motonkafu

JF-Expert Member
Dec 2, 2015
1,019
703
Wanajiita wa kimataifa, wanajiandaa na mechi za kimataifa hawajui kumbe trick hio inawagharim wao wenyewe.
1. Kukaa mada mrefu bila kucheza kuna hatari wachezaji kuongezeka kilo ndo kinachotokea leo Ngoma anashindwa ata kuruka vichwa.
2. Kukaa mda mrefu bila kucheza kuna hatari ya wachezaji kusahau kasi ya mpira wao waliozoea wakaanza style yao mpya ndo kilichotokea leo yanga wanashindwa kuendeleza kasi yao ya zamani wanacopy mpira wa El hal wa kupoozesha mpira wanapoa wanapigwa goli mapemaaa
3. Kukaa mda mrefu bila kucheza kunatengeneza saikolojia yah kuzubaa mwili unakua umepoa ndo kilichowatokea leo yanga wanashindwa kupush mpira wanalinda wakiwa nyumbani, wanapigwa bao mapema wanazawazisha kwa mtu kujifunga masikin ya mungu.

Sasa wamedroo nyumbani wamewapa wapinzani goli la ugenini, hihihihiiiii sijui wataponea wapi kwa Pharaoh.
Ngoja tuwaone walamba pipi kesho
 
kwani ilikuwa mechi ya mapinduzi cup?
 
Sasa kama umbea unawagharimu! Hawajui kuwa umbea ni moja ya tabia za kike? Si waache tu.Yanini kutukana wakati uwezo huna.
 
Wakimataifa Eeeee!! Tehe! Tehe! Tehe!! Na TP Mazembe Aliyotwaa Kombe La Ubingwa Wa Africa Mara Kadhaa Na Kucheza Fainali Ya Kombe Washindi Wa Mabara Na Akina Bayer Munch, Barcelona, Real Madrid, Man Utd, N.k. Watajiita Vp!!!?? Au Kushiriki Tu Na Kuishia Raundi Za Awali Ndio Kelele Kibao!! Kama Hivyo Hata Timu Za Zanzibar Pia Zitakuwa Za Kimataifa!!!!
 
Haya Haya wa mchangani... Mmecheka Yanga kutoa droo mechi ya kimataifa, nyie mmepigwa mbili na timu ya mchangani waja leo warudi leo
 
Nawaombea wachukue tu ubingwa wa vpl! wakiukosa na huo basi pale msimbazi patawaka moto.
Huo ubingwa wa Bara wataupate mkuu wakati wanaleta dharau kwa mwenye ubingwa wake na waliambiwa wakileta zao hata shirikisho wataliskia kwenye redio tu. Ndio kilichowakuta hawa mikia yaani mwarabu wa Tanga amewakata ngebe wangemuweza mwarabu wa Misri kweli.Wajipange upya kwa ajili ya mwaka 2018 kwa sababu msimu ujao wameshapoteza tena.
 
yanga_pic.jpg
 
Back
Top Bottom