Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 7,524
- 14,182
😂😂Kweli mkuu, kuna ambao humchokoza ili apandishe jazba,
Kuna member anaitwa Likud yeye hudai GENTA hajawahi kufika Dar yuko kwao Musoma huko,
😂😂Kweli mkuu, kuna ambao humchokoza ili apandishe jazba,
Kuna member anaitwa Likud yeye hudai GENTA hajawahi kufika Dar yuko kwao Musoma huko,
😂😂Hilo nalo ni popoma! Hujawahi kukutana nalo! Unaweza kutukana matusi mpaka linafika Morogoro!!
Ila siki hiz GENTAMYCINE amekua mpole toka alipofukuzwa bongo kurud uganda kuishi kwenye makambi ya watutsi, amekua poa sana hata hatukan sanaGENTA yeye ni jino kwa jino, ukitukana na lenyewe linatukana,
Tena ana mitusi mizito mno,
Ahahahah kwel.. unakuta kajipostia kauzi kake, comment ya kwanza tu mtu anamza "popomaaaa"😂Genta Ni mstahimilivu Sanaa 😊 MTU mwenye ngozi ngumu trust me vaa viatu vyake
Ahahah na kina watu wanayajua matusi jaman hapa jukwaani.. mimi matusi nimejifunzia hapa 😂Mi mwenyewe nilishawaparua wote hawa ila hawakujibu kwa nyodo na matusi kama wehu wengine ukiwaparua mnaanzisha ligi ya matusi
Wanatikisika huku wanabubujika machozi,Hili bandiko lilikua ni la kumdharirisha bwana lucaas tu! Ila wote mnajua mwamba anakiwasha na wapinzani wanatikisika 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna na sijaona bado wa Kuvaa Viatu vyangu kwa ninayofanyiwa hapa JamiiForums huku sasa nikiwa na mwaka wa 11 huu.Genta Ni mstahimilivu Sanaa 😊 MTU mwenye ngozi ngumu trust me vaa viatu vyake
Genta Ni mstahimilivu Sanaa 😊 MTU mwenye ngozi ngumu trust me vaa viatu vyake
Kuna wengine hukuchoza makusudi kabisa, labda hufurahia kutukanwa mitusi tukuka kutoka kwako mkuu,Hakuna na sijaona bado wa Kuvaa Viatu vyangu kwa ninayofanyiwa hapa JamiiForums huku sasa nikiwa na mwaka wa 11 huu.
Hawataiona tena hiyo Mitusi ila nina uhakika wa 100% kuwa watapata sana BAN ambazo zitawatia Adanu na tutaheshimiana.Kuna wengine hukuchoza makusudi kabisa, labda hufurahia kutukanwa mitusi tukuka kutoka kwako mkuu,