1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,419
- 3,006
Uzi huu ,unawagusa wengi kimaisha,Mungu atusaidieWANAJF, SINA MBELE WALA NYUMA… NI MATESO TU 💔🥀
Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unajiuliza, hivi mimi nilikosea wapi?
Unajitahidi, mambo hayaendi. Unapanga, mipango inavunjika. Unajipa moyo kwamba kesho itakuwa bora, lakini kesho yenyewe inakuja na maumivu mapya.
Kinachouma zaidi ni pale unapokuwa na matatizo mengi, lakini huna mtu wa kumweleza bila kuogopa kuhukumiwa. Unacheka mbele za watu, lakini ukiwa peke yako unakutana na mawazo ambayo hata hujui uyaanzie wapi kuyatatua.
Sina cha kujivunia kwa sasa, wala sina uhakika wa kesho yangu. Nikitazama nyuma naona nilipotoka, nikitazama mbele sioni njia iliyo wazi. Nimebaki katikati ya matumaini na kukata tamaa.
Sihitaji huruma ya kujifanya, wala maneno ya kunihukumu. Kuna wakati mtu hahitaji kuambiwa kwamba hajajitahidi; anahitaji tu mtu wa kumsikiliza na kumwelewa.
Wakuu, hivi huwa mnafanyaje pale maisha yanapokubana kila upande, huna pa kukimbilia, huna wa kukushika mkono, na hata moyo wako umechoka kupambana?
Naomba tuzungumze kwa ukweli, maana wakati mwingine kuyasema maumivu ni mwanzo wa kupata nafuu. 💔🥀
Kweli kabisaNdugu yangu watu tumebeba mambo mazito na magumu ukipewa kichwa cha mtu unayemuona anafurahi muda wote, naamini dakika 5 tu, utajiona kumbe hauna shida wewe 😄
Kweli kabisaMungu Anajua Unayoyapitia Kesho Yako Inawezekana Ikawa Bora Kuliko Leo
Mwnyw hapa mm sina mbele wala nyuma 😂Mpe ushauri
Kuna wakati hii ndiyo kazi ya watu.Vijana kama huyu hawataki kazi na kumtag huwa na mtag yeye kaganda kwenye twenty lake tu sio kazi!
Gentleman,WANAJF, SINA MBELE WALA NYUMA… NI MATESO TU 💔🥀
Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unajiuliza, hivi mimi nilikosea wapi?
Unajitahidi, mambo hayaendi. Unapanga, mipango inavunjika. Unajipa moyo kwamba kesho itakuwa bora, lakini kesho yenyewe inakuja na maumivu mapya.
Kinachouma zaidi ni pale unapokuwa na matatizo mengi, lakini huna mtu wa kumweleza bila kuogopa kuhukumiwa. Unacheka mbele za watu, lakini ukiwa peke yako unakutana na mawazo ambayo hata hujui uyaanzie wapi kuyatatua.
Sina cha kujivunia kwa sasa, wala sina uhakika wa kesho yangu. Nikitazama nyuma naona nilipotoka, nikitazama mbele sioni njia iliyo wazi. Nimebaki katikati ya matumaini na kukata tamaa.
Sihitaji huruma ya kujifanya, wala maneno ya kunihukumu. Kuna wakati mtu hahitaji kuambiwa kwamba hajajitahidi; anahitaji tu mtu wa kumsikiliza na kumwelewa.
Wakuu, hivi huwa mnafanyaje pale maisha yanapokubana kila upande, huna pa kukimbilia, huna wa kukushika mkono, na hata moyo wako umechoka kupambana?
Naomba tuzungumze kwa ukweli, maana wakati mwingine kuyasema maumivu ni mwanzo wa kupata nafuu. 💔🥀
Mwanaume wa kujiliza naye ni tatizo😅Huyu Jamaa ndio alimwanzishia uzi Dada yangu . Leo Dada ? Halafu mwanaume unalia maisha magumu hadharani. Akaze tako Wanaume tunaweza tukalia lakini sio hadharani. Kimsingi bado hajapevuka kiakili 😄
Tushashauri nyuzi na nyuzi kijana kasimamia msimamo wake ni ule ule kujiliza kuomba twenty na kukataa kazi!Kuna wakati hii ndiyo kazi ya watu.
Kulalamika na kuomba pocket change.
Anavuta negative energy upande wake.
Aaanze na jambo lolote kidogo kidogo endapo hana changamoto ya afya.
Akaze sip kulia lia aisee, hauwezi ukawa imara bila challenge, kwani hata shule si kulikuwa na mitihani ? Alikuwa hajisomei na akafaulu na kuendelea ? Kwani hajui kuwa dunia ni shule ? Kijana aache kudekaMwanaume wa kujiliza naye ni tatizo😅
Nikiingia na kutoka una nyuzi mpya! Ulishawahi kuleta nyuzi kama hii hakuna haja ya kuanzisha nyingine tena rejelea ulipoishia watu watakuja kukutia moyo!
Kingine, usifikiri wengine tuna maisha bora au amani kukuzidi, hivyo usione kama jua linakuwakia wewe peke yako! Tafuta mtu wa kuongea naye itakupa unafuu! Huku ndani kila mtu ana majibu yake na yanaweza yasikupe unafuu na ndio maana unashinda unaanzisha nyuzi kama mia kwa siku, hizi ni dalili za kuchanganyikiwa!
Gentleman,Asee nimetoka kureply umu then nikakutana na reply yako umesema vile vile km nilivyosema mm , it's too much to share to the public hata km ndo hidden IDs, it's getting out of hand kwa jamaa,watu wanaiona mitandao km ndio ndugu,guys token nje touch grass talk to people watu B7 dunian unakosaje kadhaa wakuongea nao in real life
Hata humu kuongea ni rukhsa ila sasa ukizidisha kujiliza watu wnaakuona una shida! Na hutopata msaada wa mawazo unaoutegemea!Asee nimetoka kureply umu then nikakutana na reply yako umesema vile vile km nilivyosema mm , it's too much to share to the public hata km ndo hidden IDs, it's getting out of hand kwa jamaa,watu wanaiona mitandao km ndio ndugu,guys token nje touch grass talk to people watu B7 dunian unakosaje kadhaa wakuongea nao in real life
Well said mkuu20k..... Ujue kwenye haya maisha unakua vile unavyojifikiria kuwa.
Unajiwazia negative sana, unajiwazia malalamiko sana, hebu badili namna unavyojitizama. Katika hayo mapito kuna mema pia. Yatizame na mema halafu ushukuru, na mema mengine yatakufata pia.
Mkuu ukipata muda tembelea japo hospital ukaone watu wanavyoteseka,na kuanzia hapo utajiona wewe ni tajiri na una kila kituWANAJF, SINA MBELE WALA NYUMA… NI MATESO TU 💔🥀
Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unajiuliza, hivi mimi nilikosea wapi?
Unajitahidi, mambo hayaendi. Unapanga, mipango inavunjika. Unajipa moyo kwamba kesho itakuwa bora, lakini kesho yenyewe inakuja na maumivu mapya.
Kinachouma zaidi ni pale unapokuwa na matatizo mengi, lakini huna mtu wa kumweleza bila kuogopa kuhukumiwa. Unacheka mbele za watu, lakini ukiwa peke yako unakutana na mawazo ambayo hata hujui uyaanzie wapi kuyatatua.
Sina cha kujivunia kwa sasa, wala sina uhakika wa kesho yangu. Nikitazama nyuma naona nilipotoka, nikitazama mbele sioni njia iliyo wazi. Nimebaki katikati ya matumaini na kukata tamaa.
Sihitaji huruma ya kujifanya, wala maneno ya kunihukumu. Kuna wakati mtu hahitaji kuambiwa kwamba hajajitahidi; anahitaji tu mtu wa kumsikiliza na kumwelewa.
Wakuu, hivi huwa mnafanyaje pale maisha yanapokubana kila upande, huna pa kukimbilia, huna wa kukushika mkono, na hata moyo wako umechoka kupambana?
Naomba tuzungumze kwa ukweli, maana wakati mwingine kuyasema maumivu ni mwanzo wa kupata nafuu. 💔🥀
Kila siku nyuzi za kujiliza tu mpaka jauNikiingia na kutoka una nyuzi mpya! Ulishawahi kuleta nyuzi kama hii hakuna haja ya kuanzisha nyingine tena rejelea ulipoishia watu watakuja kukutia moyo!