WanaJF, sina mbele wala nyuma… ni mateso tu 💔🥀

Nikiingia na kutoka una nyuzi mpya! Ulishawahi kuleta nyuzi kama hii hakuna haja ya kuanzisha nyingine tena rejelea ulipoishia watu watakuja kukutia moyo!

Kingine, usifikiri wengine tuna maisha bora au amani kukuzidi, hivyo usione kama jua linakuwakia wewe peke yako! Tafuta mtu wa kuongea naye itakupa unafuu! Huku ndani kila mtu ana majibu yake na yanaweza yasikupe unafuu na ndio maana unashinda unaanzisha nyuzi kama mia kwa siku, hizi ni dalili za kuchanganyikiwa!
Jitahidi umpe moyo anahitaji kufarijiwa 😂
 
Mkuu, mi naamini muda mwingine mazingira uathiri tabia zetu si kana kwamba mkoa uliopo hakuna fursa, fursa zipo nyingi sana sema we kijana unaona aibu kujichanganya na wanaume wenzio kwenye shughuli za kimaisha kama vile, saidia fundi ujenzi na shughuli ndogo ndogo za mtaani sababu umejijengea ka brand kako eti unaogopa mademu watakuonaje au watu wa mtaani watakuonaje, hilo ndio tatizo la vijana wenzangu wengi ndio maana muda mwingine vijana wa kutoka mkoa X wanakuja kwenye mikoa yetu na wanafanikiwa vizuri tu na sisi tu hapo hapo tunakodoa macho kisa eti unaona aibu kubeba zege mtoto wa kiume eti mademu wakucheki, ndio maana mi niliondoka nyumbani kwenda mkoa mwingine ambao sijulikani, kazi yoyote ikija mbele yangu ilimradi iwe ya halali nafanya kazi na maisha yanaenda vizuri tu, kwa hiyo kijana mwenzangu mi nakushauri toka mkoa uliopo nenda mkoa mwingine kajichanganye huko baada ya mwaka njoo na ushuhuda ndio utaelewa kwa nini mazingira uathiri tabia zetu. Asante.
 
Paragraph
 
Sio kila mtu humu anamaisha mazur ni vile watu tumeweka mambo yetu vifuani hata tukija kulia humu hakuna tutakacho ambulia Zaid ya pole na kejeli

Pambana na yako mtoto wa kiume jifunze uvumilivu wa mambo unamtu unaye mwamin mtafute kaa naye Sema yaliyo moyoni maneno nayo ni Tiba haswa maneno ya faraja na busara
 
Nyakati kama hizi humkuta kila mtu hasa wale wanaopambana sana,kusali sana na kujitahidi sana …hizi ni nyakati ambazo ni katikati ya kufanikiwa kwenye jambo lako na kupotea kabisa….! Hizi ni nyakati ambazo ukiendelea kukaza basi unatoboa na ukikata tamaa ndio basi tena! Hizi ni nyakati kama za pale unapokaribia kufika nyumbani halafu umebeba mzigo huwa mzigo unakuwa mzito zaidi!

Hivyo unachotakiwa ni kutrust process unayopitia endelea kukaza kaza nina hakika haitovuka mwaka utakuja kushuhudia hapa, kama una sali/swali kazana zaidi!

Nyakati za kukaribia kufanikiwa huwa ni nyakati za taabu sana zinaumiza na zina katisha tamaa sana na mara nyingi mtu huona ndio mwisho wake…lakini sivyo! Lakini kinachohitajika ni kuvumilia na kukazana zaidi na kutokata tamaa!

Kila anayetaka kufanikiwa au kufanikisha jambo fulani lazima apitie nyakati kama hizi ….zinakuwa za moto sana na mateso na hakuna njia unayo iona…lakini trust me njia utaiona …
 
Ndio inavyotakiwa! Hawa wanaoanzisha nyuzi za 100m wanamchanganya anahisi wote humu matajiri na hatuna stress!🤣
Huyu Jamaa ndio alimwanzishia uzi Dada yangu . Leo Dada ? Halafu mwanaume unalia maisha magumu hadharani. Akaze tako Wanaume tunaweza tukalia lakini sio hadharani. Kimsingi bado hajapevuka kiakili 😄
 
Mkuu, mi naamini muda mwingine mazingira uathiri tabia zetu si kana kwamba mkoa uliopo hakuna fursa, fursa zipo nyingi sana sema we kijana unaona aibu kujichanganya na wanaume wenzio kwenye shughuli za kimaisha kama vile, saidia fundi ujenzi na shughuli ndogo ndogo za mtaani sababu umejijengea ka brand kako eti unaogopa mademu watakuonaje au watu wa mtaani watakuonaje, hilo ndio tatizo la vijana wenzangu wengi ndio maana muda mwingine vijana wa kutoka mkoa X wanakuja kwenye mikoa yetu na wanafanikiwa vizuri tu na sisi tu hapo hapo tunakodoa macho kisa eti unaona aibu kubeba zege mtoto wa kiume eti mademu wakucheki, ndio maana mi niliondoka nyumbani kwenda mkoa mwingine ambao sijulikani, kazi yoyote ikija mbele yangu ilimradi iwe ya halali nafanya kazi na maisha yanaenda vizuri tu, kwa hiyo kijana mwenzangu mi nakushauri toka mkoa uliopo nenda mkoa mwingine kajichanganye huko baada ya mwaka njoo na ushuhuda ndio utaelewa kwa nini mazingira uathiri tabia zetu. Asante.
Afanyie kazi huu ushauri, atoke nyumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom