Tufanye kila kitu tayari, unataka tuanze kuwasaidia wenye matatizo yapi?
Wana JF wengi ni watu wenye mawazo mazuri na uwezo wa kupambanua mambo kwa kina hayo mawazo wakiyaweka pamoja something can happen positively in our societyMbona JamiiForum ni kampuni inajitegemea? au ulifikiri ni group kama la whatsapp? ni sawa na kusema wasikilizaji wa Radio One wawe na umoja wao!
Mawazo mazuri sana!Amani iwe kwenu wote wana Jamvi
Kwa umoja wetu wanajamvi tunaweza kuunganisha mawazo ya hali na mali katika kusaidia au kutatua matatizo yanayoikabili jamii yetu ya kitanzania katika maisha ya kila siku.
Wakuu wa humu wanaweza kutengeneza utaratibu mzuri tuu wa kupata kamati makini ya kutuwakilisha sehemu mbali mbali katika jamii, Serikali ya JF
Ni mawazo yangu mnaweza kuongeza na mengine or Kama ipo pengine mie cjapata kufahamu basi naomba kufahamishwa
Nawashilisha
BM