Nonoonoooo......Mna undugu na deepbond?
Labuda lakini wengine tushaharibu humu hata usipojitaja Kuna mimtu ambayo shipa la mdomo lishakatika linaweza kukubambikiza jina la mwana jf mwengine..πBas tutakutana kwa majina yetu halisi ya jf kapuni....tutaanza kumsema@mzabzab na mbususu zake kumbe unaecheka sana ndo mzabzab
Karibu IsyesyeSawa nimekupata mkuu
Naunganisha mikono kwenyw hii hoja....πHapo kwenye "mitafuno ni dhambi" napinga kabisaaa...
Kikupacho furaha na amani sio dhambi.
Kwa hiyo viba100 mlipewa stara. Zama zimebadilika kidogo mkuuTena kwa staha pasipo kuvunja chaga, tena enzi zile sikuwahi kuona member aliemfungulia uzi mwenzake "eti kwasababu amekutana na kiba100"...
Haya nipo ukireini mnajipangaje Sasa..?πTuonane bhanaa,acha uvivu
Wanaosemaga hivi ndo mmeshaonana mpk na mods wa jf..πMtakaoonana mtanihadithia
Ndiondio mkuu....We jamaa wewe
Hili nalo neno unawezakutana na jibibi ambalo halitaki limegoma kutoka kwenye udada!.. unajishangaa stori mnaanza kupiga za kilimo Kwanza..πMleta mada weka age group basi, usije kuonana na sie umri ushaenda sana tukaonekana na watoto wa fom foo!!
Nikweli kabisa mkuundugu yangu....Kwa hiyo viba100 mlipewa stara. Zama zimebadilika kidogo mkuu