Huoni vipepeo weusi wanaweza kukufungia mkia!,unajua unaenda kukutana na mwana jf kumbe mwana mweusi..πSasa hata niandike mimi ni msagaji usagaji wangu wewe unakudhuru nn...just read it,comment then move on na mambo mengine.Huwez ukatajirika kwa kuishupalia tabia ya member wa jf
We unabalaa wewe siwezi tutapigana mawe tu..πNaomba unione Kenzy
Na ndio ujiulize kwanini polisi walienda ofisi za jf na kutaka taarifa fulani za wana jf!..!Ha ha haa,ila nalo neno
Tuonane bhana mimi nje ya hii keyboard ni wife material mmoja matata sana..sorry namaanisha ni mtu mmoja poa sana.We unabalaa wewe siwezi tutapigana mawe tu..
Tena kwa staha pasipo kuvunja chaga, tena enzi zile sikuwahi kuona member aliemfungulia uzi mwenzake "eti kwasababu amekutana na kiba100"...πβΊLakini pia mlitafunanaπππππ
Ebu achana na huyu dogo anae chezea bahati, fanya uonane na mimi hubby material...πTuonane bhana mimi nje ya hii keyboard ni wife material mmoja matata sana..sorry namaanisha ni mtu mmoja poa sana.
π€£π€£ We mi mume wa mtu..πTuonane bhana mimi nje ya hii keyboard ni wife material mmoja matata sana..sorry namaanisha ni mtu mmoja poa sana.
Bas tutakutana kwa majina yetu halisi ya jf kapuni....tutaanza kumsema@mzabzab na mbususu zake kumbe unaecheka sana ndo mzabzabNa ndio ujiulize kwanini polisi walienda ofisi za jf na kutaka taarifa fulani za wana jf!..!
Jichanganye Sasa uone unavyochanganywa..
Hilo swali langu hapo juu la ming'ombe linamaana sana..π
π Aisee! Mi me nduguKENZY NI KE OR ME?
Hapo kwenye "mitafuno ni dhambi" napinga kabisaaa...Afu ni ujinga huo...kulaneni kimyakimya maana mitafuno ni dhambi ivo usiitukuze dhambi yako
Mungu akutunze mwali, hapa naona kabisa gari bovu mie nishapata gari zima la kunisogezea mwendo...ππAfu ni ujinga huo...kulaneni kimyakimya maana mitafuno ni dhambi ivo usiitukuze dhambi yako
Tatizo vijana hawana vifua, yaani mafriji yao haligandishi kabisaaaaa..πππ Wachache wanaweza kukaa kimya..