Wanajf hii nature history tv na twiga,chui

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Wakuu ninaguswa sana hii tv station na kukerwa kwa jinsi wanavyoonyesha wanyama hai wakiwa bustanini na pia kwenye ma zoo.Mfano utakuta mnyama kama chui ambao asili yao ni Asia na Africa,wanafugwa kama mbwa na halikadhalika Twiga,ambao nature ya mazingira yao ni Africa.Naona wanawanyanyasa wanyama.
Wako wapi wana harakati hasa wa kutetea haki za wanyama? Au hii wanaona haiwalipi? Naona wako wana mazingira,lakini pia wanyama wenye asili ya Africa hasa Tanzania jamani wanateseka~ Chui,Simba yao kuwinda ndo nature yao na hata vitabu vinasema Don't feed animal.
Hata kama maendeleo,yawe na limits,kha!




Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom