Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Hilo ni baba la baba limekuja kwako na hapo unapoishi alikupa wewe🤣🤣🤣Salaam ndugu zangu kuna jambo limenifikirisha kidogo baada ya juzi kuja huyo mgeni kutoka Usa sasa baada ya kutua tu kila kitu cha ulinzi kilikuwa chini ya wageni kuanzia Airport mpka sehemu alipokuwa huyo mgeni na mpaka anaondoka wanajeshi wa kigeni ndio walikuwa wanaosimamia show nzima ya ulinzi ya viongozi wote wawili,
Sasa najiuliza hivi wanajeshi wetu wanajisikia kuona nchi yao inalinda na wengine ina maana wao hawaaminiki??

alikutana na foleni kubwa central London ila ilibidi wawe wapole tu na kufuata foleni kama weengine hakuna kufukuza watu au kusimamisha magari ili Rais apite