waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 190
- 451
Huu ndo ujinga ambao unapigwa Vita .Wewe tulia kabisa kabisa taratibu za ukaguzi migodini unazijua
Mnataka kuendelea kuiba tu
Vijana wa JWTZ pigeni kazi kulinda mali za Taifa
Mkuu nenda taratibu,TZ ni yetu sote, na Utu wa mtu ni kitu muhimu kuliko chochote kile.Taratibu za kumpekua mtu ni kwamba Mwanamke anapekuliwa na Askari wa kike halikadhalika Mwanaume anapekuliwa na Askari mwanaume.Wewe tulia kbsa kbsa taratibu za ukaguzi migodini unazijua
Mnataka kuendelea kuiba Tuu
Vijana wa Jwtz pigeni kazi kulinda mali za Taifa
Ina maana hayo madini huko kwa wengine hayapo ambako wanatumia vifaa vya kisasa na heshima ya mtu inabakia pale pale tena hivyo manually ndio kuna wizi sana kuliko mashineWewe tulia kbsa kbsa taratibu za ukaguzi migodini unazijua
Mnataka kuendelea kuiba Tuu
Vijana wa Jwtz pigeni kazi kulinda mali za Taifa
Body scanners zilikuwepo, lakini zikahujumiwa na kulaumiwa kwamba zinatumia mionzi na hivyo kuhatarisha maisha ya wachimbaji. Kwa kuliona hilo, sasa mambo ndiyo hayo, vigorous physical search kwenye tundu lolote (sorry to say so)!Huu ndo ujinga ambao unapigwa Vita .
Miaka zaidi ya 58 ya Uhuru bado Askari wetu wanatumia njia za 'kijima' kudhalilisha utu wa mwanadamu, eti tu kukaguliwa madini yasiibiwe.
Hivi body scanner security hazipo au hazifanyi kazi?
Duh! Kwa hiyo ni mwendo wa kupanua panua, ndio Afande au? Wa mererani tuthibitishieni haya madai ni ya kweli?Body scanners zilikuwepo, lakini zikahujumiwa na kulaumiwa kwamba zinatumia mionzi na hivyo kuhatarisha maisha ya wachimbaji. Kwa kuliona hilo, sasa mambo ndiyo hayo, vigorous physical search kwenye tundu lolote (sorry to say so)!
Jeshi awafai kutumika kwenye masuala yanayohusu michanganyiko na Jamii. Wao wamefunzwa kuuwa na sio kulinda uhai . Kama wanakiuka taratibu za upekuzi sio utu. Mwanamke apekuliwe na mwanamke na mwanaume hivyo hivyo.Wewe tulia kbsa kbsa taratibu za ukaguzi migodini unazijua
Mnataka kuendelea kuiba Tuu
Vijana wa Jwtz pigeni kazi kulinda mali za Taifa
Iko siku yako utajua kwa nini haifai kuwa hivyo.Wewe tulia kbsa kbsa taratibu za ukaguzi migodini unazijua
Mnataka kuendelea kuiba Tuu
Vijana wa Jwtz pigeni kazi kulinda mali za Taifa
Bila shaka 'walizihujumu' hizo mashine ..ili waendelee kuvuna madini kwa njia zisizo halali.Body scanners zilikuwepo, lakini zikahujumiwa na kulaumiwa kwamba zinatumia mionzi na hivyo kuhatarisha maisha ya wachimbaji. Kwa kuliona hilo, sasa mambo ndiyo hayo, vigorous physical search kwenye tundu lolote (sorry to say so)!
Mkuu wewe unafanya humo tanzanite mirerani? Mnapokaguliwa huwa umelowa matope mwili mzima.?Hujui mazingira , body scanner ? Kwenye mashimo ? Mtu amelowana matope mwili mzima anapekuliwa kwa mikono
Unaropoka kama zuzuWewe tulia kabisa kabisa taratibu za ukaguzi migodini unazijua
Mnataka kuendelea kuiba tu
Vijana wa JWTZ pigeni kazi kulinda mali za Taifa
Hilo tope liko mererani ipi?isije kua ni mererani ya chato ndio unaisemaHujui mazingira, body scanner? Kwenye mashimo? Mtu amelowana matope mwili mzima anapekuliwa kwa mikono.
Sidhani kama jambo hili ni geni kwenye migodi mikubwa.Niliwahi kumsikia mtu mmoja aliewahi kufanya kazi Williamson Diomond mines ya Mwadui miaka hiyo ya ukoloni kulikuwa na upekuzi wa aina hiyo,sijajua teknolojia sasa hivi ikoje, labda wangeweza kutafuta njia mbadala ili kuwapunguzia adha wahusika.Rais John Magufuli tunakuomba uje Mererani usikilize kilio cha wachimbaji wa madini ya Tanzanite wanavyoteswa na kudhalilishwa na wanajeshi wakati wa upekuzi katika lango la kuingilia.....