Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
- Thread starter
- #81
Acha dharau Majigo ...Nadhani unawahukumu makamanda wote bila sababu, kama wapo wenye "vitambi" ni wawili katika mia. Jifunze kuthamini ulichonacho ili uweze kuthaminiwa. Sioni "vitambi" hapa:-
![]()
![]()
Umeamua Kuweka Picha
Inawezekana Ilikuwa Wakati Ule Wa Nyerere, Lakin Wengi Wao Kwa Utawala Huu, Wamekaa Kizembe...Huo Ndo Ukweli!!