Wanajeshi wa Tanzania na vitambi !

Wanajeshi wa Tanzania na vitambi !

Salam Za Dhati Kwenu Machief!
Jamani Ni Aibu Kuona Maofisa Wengi Wa Jeshi Langu La Tz, Wamevimba Matumbo Kuzidi Hata Raia Wa Kawaida...hiyo Ni Ishara Ya Ulelemama! Jirekebisheni Wanajeshi Wangu!

Jigo

Acha dharau Majigo ...Nadhani unawahukumu makamanda wote bila sababu, kama wapo wenye "vitambi" ni wawili katika mia. Jifunze kuthamini ulichonacho ili uweze kuthaminiwa. Sioni "vitambi" hapa:-

5acdGen.-Katumba-with-other-UPDF-officers.jpg

2013_5$largeimg126_May_2013_154317133gallery.jpg
 
Mkuu hii thread haikufai waachie.. wise boy , gentemycen, na pdidy.

Kwanini? Kwahiyo Sisi Watatu Tajwa Hapo Juu Ndiyo MOST WANTED Na Oysterbay DStv Na Makao Upanga au? Sijakuelewa.
 
Kamuulizeni Big Dady Tezi Dume Kwanini Alimtuma MPEWA SUMU Mwandosya Aende Kumwomba Radhi PK Kigali Mwaka Jana Kwani Taarifa Zote Za Kijasusi Zilimtaarifu Mr. TEZI Kuwa Rwanda Na Washirika Wake Wa Ndani Wameshaitega Tanzania ktk Kila Ngome Zake Kuu KIBAHA, NACHINGWEA, KIZUKA, MARA, TABORA na MWANZA Hivyo TZ Ingelianzisha Tu TUNGEKIONA CHA MOTO......Na Nimegundua Wengi Wenu Mnaonijibu Humu Haswa ktk Mada Hii Ni Watu wa JWTZ Tena Idara Ya MI Na Wengine Ni Watu Wa Ofisi Ya Mzee Othman Rashid au Kwa Mzee Mombo ILA Ukweli Wote Mnaujua Hivyo Msiwahadae Watanzania Humu JF. Tanzania Bado Sana Kwa Rwanda Haswa Kivita.

Hahahahahaha we jamaa tunakujua sana kwa kila kitu wala usijisumbue na unachokiamini na kukijua ni kidogoo sana yani sana any way hongera kwao hao Rwanda kwa kua na jeshi zuri kuliko TPDF bwana mjadara uishe mkuu.
 
Bangi inawakondesha na nyie mazuzu mnafikiri ni wakakamavu!!!

Bila BANGE Maisha Hayaendi. Sasa Wewe Hushangai Wavuta Bangi Maarufu Sasa Ni Marais Kuanzia Kwa Joseph Kabila, Uhuru Kenyatta, Barrack Obama Na Aliyekuwa Rais Wa Marekani Mbabe George Bush. Sasa Wewe USIYEVUTA PUJE ( Bangi ) Una Mafanikio Gani Zaidi Tu Ya Kutumikishwa Huko Ofisini Kwako au KUSHIKISHWA TU UKUTA? Bangi Ndiyo Mpango Mzima Tena Ile Ya TARIME au Ya LONGIDO!
 
kuna mjeshi huku kwetu alipigwa vibaya na muuza mkaa

sasa nikajiuliza kma kapigwa na mtu Hana mafunzo yoyote zaid ya kubeba magunia angekutana na mtu kala mafunzo yote ya kijeshi si ingekuwa zahama
 
Kuna kila sababu ya kuwaombea mechi ya kirafiki wanajeshi wetu na watu kamaAL SHABAAB, BOKO HARAM au hata wanamgambo wa TALIBAN kwa ajili ya kupasha misuli....na kujiweka fit kwa ajili ya mashambulizi ya kushtukiza...
 
Acha dharau Majigo ...Nadhani unawahukumu makamanda wote bila sababu, kama wapo wenye "vitambi" ni wawili katika mia. Jifunze kuthamini ulichonacho ili uweze kuthaminiwa. Sioni "vitambi" hapa:-

5acdGen.-Katumba-with-other-UPDF-officers.jpg

2013_5$largeimg126_May_2013_154317133gallery.jpg

HALAFU USIDHANI WOTE HUMU JAMII FORUM NI WAPUUZI NA HATUYAJUI MAMBO NA KWA FAIDA TU YA WENGINE HUMU AMBAO MNADHANI GENTAMYCINE HUWA NAKOSEA AU NAPOTOSHA WATU NI KWAMBA MWENYE ID HII YA BABA ENOCK NILIKUWA NAMWESHIMU NA SASA NINAMDHARAU NA NITAMDHARAU HADI KUFA KWANGU KWANI AMEWAONGOPEA WATANZANIA HUMU JF KWA KUWAWEKEENI PICHA YA ASKARI JESHI WA NCHINI UGANDA. KWA BAHATI NZURI SANA NIMEKULIA HUKO, NA BWANA MKUBWA WAO ( M7 ) NDIYO ALIKUWA BABA YANGU MLEZI KIPINDI CHOTE NIKIWA HAPO IKULU YA NAKASERO HIVYO PICHA HIYO YA KWANZA HAPO JUU MTU WA NNE KUTOKA KUSHOTO NI MTOTO WA RAIS M7 MUHOOZI KAINERUGABA MUSEVENI, Huyo MAMA WA Kwanza KUSHOTO ANAITWA MAMA ARINAITWE au MAJOR KIGOZI HUKU PICHA YA CHINI HUYO NI MKUU GENERALI KATUMBA WAMALA NA UKIANGALIA VIZURI SANA PICHA HIYO YA PILI CHINI INA MANENO YA " NEW VISION " AMBALO NI GAZETI LA SERIKALI LA NCHINI UGANDA.

Baba Enock TAFUTA Wa KUWADANGANYA ILA SIYO GENTAMYCINE....NA UNIDANGANYI KITU KUHUSU NCHI YA UGANDA, RAIS WAKE, TIMU YAKE NZIMA YA ULINZI PGB ( PRESIDENTIAL GUARD BRIGADE ) ZAMANI IKIITWA PPU NA JESHI LAO LOTE. KIFUPI UGANDA NZIMA IPO KIGANJANI MWANGU NA NAMSHUKURU Rais WAO M7 KWA KUNIPA HESHIMA KUBWA na MALEZI.

Sasa MNAONIONA MIMI NI MPOTOSHAJI BISHENI PIA KTK HILI. Mimi SIDANGANYWI HOVYO HOVYO na NILICHOCHUKIA NI HUYU Mwenye ID Ya Baba Enock KUWADANGANYENI NYIE WENZANGU HUMU KWA KUWAWEKEA PICHA ZA WANAJESHI WA UPDF WA UGANDA AKISEMA NI WA TANZANIA na NYIE MMEUCHUNA TU na KURIDHIKA. Ndiyo Maana Watanzania Kumbe Ni Watu Wa KUPELEKWA PELEKWA na KUDANGANYWA Leo NIMEAMINI.
 
Na Kwa KUKUSAIDIA Tena HAPO Ni BOMBO Barracks ( MAKAO MAKUU YA JESHI LA WANANCHI WA UGANDA ) Wilaya Ya Mpigi MKOANI Luweero Na Ndipo Eneo Ambalo Jeshi La Mzee M7 Lilianzisha Mapambano Yake Dhidi Ya Serikali Ya Hayati Milton Obote na Kupelekea Rais Mzee M7 Kuchukua Nchi Mwaka 1986.
 
Jinga kabisa mtu kama wewe ukikutana na mimi dawa yako ni kifi.ro bila wese nikukate spring za kijamb.io.

Hilo Tusi Kikwetu Umemaanisha GENTAMYCINE Nakupenda Na Nakuomba UNIBEBESHE Mimba Yako ILI Nami Nimpate GENTAMYCINE Junior. Lete Tena Tusi Lingine NIKUTAFSIRIE!......Hapa Utazima Fegi Mwenyewe Kudadadeki.
 
Hahahahahaha we jamaa tunakujua sana kwa kila kitu wala usijisumbue na unachokiamini na kukijua ni kidogoo sana yani sana any way hongera kwao hao Rwanda kwa kua na jeshi zuri kuliko TPDF bwana mjadara uishe mkuu.

Wewe Huna Uwezo Wa Kunijua Mimi ILA Mabosi Zako Wakuu Wote Waliostaafu Na Wale Wakongwe Waliopo Hapo Makao Oyesterbay Na Upanga Wanaweza Wakanijua Kwani Wengi Wao Walinilea Wakati Nikiwa Petit ( Mdogo ) Na Ninawaheshimu Mno Na Nawakubali Kwa UTENDAJI Wao ILA Siku Hizi Hizo Ofisi Kuu Kubwa Mbili Ya Obey na Upanga Zimeingiliwa Na MAPOPOMA Ukiwemo Wewe Mmoja Wapo Na Ndiyo Sifa Ya UTENDAJI Wenu IMESHUKA Ukilinganisha Uimara Wa Idara Mbili Hizo Kubwa Hapa Nchini Kipindi Cha Hayati Kambarage, Mzee Mwinyi Japo Kuna Kipindi Na Yeye Alizidisha USWAHILI Na Uimara Ulirejea Wakati Wa Uncle Ben ILA Kwa Sasa Hamna Kitu Hapo Kwani Kuna Defectors Wengi Sana Hapo Obey Multi Choice Na Upanga......Hivyo Kifupi Mpo Watupu a.k.a U.C.H.I.
 
Vitambi siyo hoja kubwa. Mimi ninachoamini jeshin ni NIDHAMU jeshin. Unaweza kuwa na mayanki wengi kumbe uzalendo hakuna. Swala kubwa ni tactics za jeshi na wala kitambi sio hoja hata wacheza mieleka wana miili mikubwa tu.
 
Wewe Huna Uwezo Wa Kunijua Mimi ILA Mabosi Zako Wakuu Wote Waliostaafu Na Wale Wakongwe Waliopo Hapo Makao Oyesterbay Na Upanga Wanaweza Wakanijua Kwani Wengi Wao Walinilea Wakati Nikiwa Petit ( Mdogo ) Na Ninawaheshimu Mno Na Nawakubali Kwa UTENDAJI Wao ILA Siku Hizi Hizo Ofisi Kuu Kubwa Mbili Ya Obey na Upanga Zimeingiliwa Na MAPOPOMA Ukiwemo Wewe Mmoja Wapo Na Ndiyo Sifa Ya UTENDAJI Wenu IMESHUKA Ukilinganisha Uimara Wa Idara Mbili Hizo Kubwa Hapa Nchini Kipindi Cha Hayati Kambarage, Mzee Mwinyi Japo Kuna Kipindi Na Yeye Alizidisha USWAHILI Na Uimara Ulirejea Wakati Wa Uncle Ben ILA Kwa Sasa Hamna Kitu Hapo Kwani Kuna Defectors Wengi Sana Hapo Obey Multi Choice Na Upanga......Hivyo Kifupi Mpo Watupu a.k.a U.C.H.I.

Kukulia ikuru au kwa Vuongozi wanaandamizi siyo sababu ya wewe kuijua system na hata kama unajua unajua vitu vidogo sana ambavyo hata yeyote anaweza kuvijua huenda hata huyo aliyekukuza hajui hata vitu vingine hata kama yupo kwenye sytem bere in your mind ma mambo yanabadilika pia mkuu GENTAMYCINE na mtu wa mwaka 1970s hayuko sawa na wa 2000s nimemaliza.
 
HALAFU USIDHANI WOTE HUMU JAMII FORUM NI WAPUUZI NA HATUYAJUI MAMBO NA KWA FAIDA TU YA WENGINE HUMU AMBAO MNADHANI GENTAMYCINE HUWA NAKOSEA AU NAPOTOSHA WATU NI KWAMBA MWENYE ID HII YA BABA ENOCK NILIKUWA NAMWESHIMU NA SASA NINAMDHARAU NA NITAMDHARAU HADI KUFA KWANGU KWANI AMEWAONGOPEA WATANZANIA HUMU JF KWA KUWAWEKEENI PICHA YA ASKARI JESHI WA NCHINI UGANDA. KWA BAHATI NZURI SANA NIMEKULIA HUKO, NA BWANA MKUBWA WAO ( M7 ) NDIYO ALIKUWA BABA YANGU MLEZI KIPINDI CHOTE NIKIWA HAPO IKULU YA NAKASERO HIVYO PICHA HIYO YA KWANZA HAPO JUU MTU WA NNE KUTOKA KUSHOTO NI MTOTO WA RAIS M7 MUHOOZI KAINERUGABA MUSEVENI, Huyo MAMA WA Kwanza KUSHOTO ANAITWA MAMA ARINAITWE au MAJOR KIGOZI HUKU PICHA YA CHINI HUYO NI MKUU GENERALI KATUMBA WAMALA NA UKIANGALIA VIZURI SANA PICHA HIYO YA PILI CHINI INA MANENO YA " NEW VISION " AMBALO NI GAZETI LA SERIKALI LA NCHINI UGANDA.

Baba Enock TAFUTA Wa KUWADANGANYA ILA SIYO GENTAMYCINE....NA UNIDANGANYI KITU KUHUSU NCHI YA UGANDA, RAIS WAKE, TIMU YAKE NZIMA YA ULINZI PGB ( PRESIDENTIAL GUARD BRIGADE ) ZAMANI IKIITWA PPU NA JESHI LAO LOTE. KIFUPI UGANDA NZIMA IPO KIGANJANI MWANGU NA NAMSHUKURU Rais WAO M7 KWA KUNIPA HESHIMA KUBWA na MALEZI.

Sasa MNAONIONA MIMI NI MPOTOSHAJI BISHENI PIA KTK HILI. Mimi SIDANGANYWI HOVYO HOVYO na NILICHOCHUKIA NI HUYU Mwenye ID Ya Baba Enock KUWADANGANYENI NYIE WENZANGU HUMU KWA KUWAWEKEA PICHA ZA WANAJESHI WA UPDF WA UGANDA AKISEMA NI WA TANZANIA na NYIE MMEUCHUNA TU na KURIDHIKA. Ndiyo Maana Watanzania Kumbe Ni Watu Wa KUPELEKWA PELEKWA na KUDANGANYWA Leo NIMEAMINI.

Mheshimu Baba Yako na Mama Yako upate miaka mingi na heri Duniani....!SoB

Hao maaskari wana "Vitambi" hawana "Vitambi"? Nimeweka hiyo Picha kwa sababu maalum...! MtFck..!

muhoozi.jpg
 
Back
Top Bottom