Wanajeshi wa Tanzania na vitambi !

Wanajeshi wa Tanzania na vitambi !

Wewe Una Askari Jeshi au Una Wasanii Tu! Ukitaka Professional Soldiers Ambao Wapo Very Intelligent, Focused, Courageous, Brave, Committed, Ethical na Very Respectful Nenda Nchini Rwanda. Askari Wa TPDF Wanamengi Sana Na Mno Ya Kujifunza Kutoka Kwa Wenzao Wa RPF........Ukweli Ndiyo Huo MKATAE au MBISHE.

wale ni waasi hawana rishe
 
Wenye tumbo ni maafisa. Wanaokwenda front ni private hadi sajent. Ila wanaongozwa na makapten au majors. Wakubwa wanapanga logistic na kuangalia mbinu za kutumia. Hawana shida. Wanapata tu report.

Si wote kazi yao kubeba mibunduki mikubwa kama M23.Wengine wana vitambi kazi yao kukaa kwenye komputa za kivita vita ikitokea anabonyeza kitufe cha komputa huku akinywa soda yake taratibu kombora linaruka automatikally kutoka kwenye mtambo wa kurusha makombora linaenda kuvurumisha kambi ya adui.

Ukiona askari ana kitambi usidhani si askari shauri yako! Ukianzisha vita ndio utajua
 
Mchokoze mmoja wapo mwny kitambi kwa kumpokonya mke then uje utupe mrejesho hapa hapa.

hawana kitu sema si raia waga tunaogopa gwanda lakini ukiamua kupanga mkono mko wawili tu lazima ale kona kuwafata wenzie mm nasema hivi hakuna mwanajeshi wakunipiga tukiwa wawili tu over
 
Niliwahi kudhani hawa jamaa wenye vitambi ni walaini ila sahizi heshima kwao.
 
Nasema Hili Tena Kwa MSISITIZO Mkubwa ASKARI JESHI WA TANZANIA NI CHA MTOTO KWA WANAJESHI WA RWANDA NA NAKUHAKIKISHIA TPDF HAWANA UWEZO WA KUPAMBANA NA JESHI LA RWANDA LA RPF........NINA UHAKIKA NA HILI KWA 100%. TENA WASITHUBUTU TANZANIA ITAUMBUKA....WATUTSI NI HABARI NYINGINE KTK MEDANI ZA KIVITA NA MAARIFA.
Ok okey hongereni sana!
 
Yani wewe ndio MS3NG3 dunia nzima.

Ungekuwa Mwanaume Kweli Ungetukana Tusi Na Uliweke Moja kwa Moja Badala Yake Kumbe Unaniogopa Na Ndiyo Maana Hata Tusi Lako Lenyewe Umelifumba. Na Hilo Tusi Uliloliweka Hapo Kikwetu Linamaanisha Baba Yako Kwahiyo Mimi Ni Baba Yako NIMPAYE Raha Zote Za Duniani Bi. Mkubwa Wako Na Wewe Ni Zao La Bao Langu.
 
wale rpf wanovaa badge za njano began? hawana lolote kwanza afya mgogoro, wanatembea route match from kirehe to rwamagana ulimi nje kama km 60 hivi, ndo uje uwapime na tpdf?
umekosa kazi, wadanganye wasoijua Rwanda na matatizo yake

Unapata Taabu Ya Nini Na Kutokwa Na Mapovu? Si Mjilengeshe Kwa RDF Muone Cha MTEMA KUNI? Mnadhani Kagame Ni Kama Wana UKAWA Mnaowaonea Hapa Tanzania? Huna Lolote POPOMA Wewe Umekwenda Tu Kigali Kupeleka Mafuta Ya Akina Hanspoppe Na Ukatembelea Tu Hayo Maeneo Na Umerudi Bongo Eti Na Wewe Leo Unajifanya Unayajua Mambo Ya Rwanda.............Huna Ukijuacho Na Rwanda Ni Habari Nyingine Kuanzia KIAKILI na KIMAPIGANO.......Period!
 
mbona hata polisi wa ulaya wapo wenye vitambi
 
Ila aisee hawa jamaa ukitaka ujue wana nguvu nyang'anya demu au mke wake. Mimi ningekuwa Mkuu wa majeshi wote weunye vitambi ndio ningekuwa nawapeleka kwenye operation za nje kama Sudani ya kusini, Somalia, Syria, Irak na Afghan stan
 
Toboa siri mkuu tuone nani mama na nani baba

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kamuulizeni Big Dady Tezi Dume Kwanini Alimtuma MPEWA SUMU Mwandosya Aende Kumwomba Radhi PK Kigali Mwaka Jana Kwani Taarifa Zote Za Kijasusi Zilimtaarifu Mr. TEZI Kuwa Rwanda Na Washirika Wake Wa Ndani Wameshaitega Tanzania ktk Kila Ngome Zake Kuu KIBAHA, NACHINGWEA, KIZUKA, MARA, TABORA na MWANZA Hivyo TZ Ingelianzisha Tu TUNGEKIONA CHA MOTO......Na Nimegundua Wengi Wenu Mnaonijibu Humu Haswa ktk Mada Hii Ni Watu wa JWTZ Tena Idara Ya MI Na Wengine Ni Watu Wa Ofisi Ya Mzee Othman Rashid au Kwa Mzee Mombo ILA Ukweli Wote Mnaujua Hivyo Msiwahadae Watanzania Humu JF. Tanzania Bado Sana Kwa Rwanda Haswa Kivita.
 
hawana kitu sema si raia waga tunaogopa gwanda lakini ukiamua kupanga mkono mko wawili tu lazima ale kona kuwafata wenzie mm nasema hivi hakuna mwanajeshi wakunipiga tukiwa wawili tu over
Kweli hawana lolote wale ndio maana mmoja wao au wawili wakizidiwa mtaani wanarudi kambini kuita wenzao. Kibongo bongo mmoja mmoja hawawezi kabisa kurusha mikono ya kiume. Wao wanategemea mikanda tu! Yaani ukikutana naye mmoja site nzuri mrushie za kitaisoni uone atakavyotoka mbio. Sasa akirudi anakuja na kombania. Mmoja juzi kawakimbia panya road!
 
1. RDF wameshindwa kupambana na ex-FAR since 1994 mpaka leo wanapounda FDLR, hii ni aibu! Huyo rais wenu PAKA a.ka pepe kale:A S wink: katishia kutupiga tumesubiri weeeee, mpaka leo kimya! hata kurusha karoketi kamoja?
2. Tanzania haijawahi kupoteza mechi toka enzi za kupambana na ukoloni, vita ya uganda na mechi ndogo ndogo kama comoro vs kanali nani sijui huko, M23 etc....
3. Hakuna siku yoyote Tanzania iliaibika vitani au kwingineko, hakuna sehemu yoyote ile iliyowahi kuripotiwa chochote kingine zaidi ya ushindi. Wewe kama unadai una siri za chini ya kapeti either ziweke hapa au kaa kimya. Siri gani hizo zisitoke BBC, CNN, Mwananchi au hata new times :A S wink:, ila uwe nazo wewe mwenye jina la ID kama antibaiyotiki za magonjwa ya zinaa?

Kwahiyo Wewe Hao Mabwana Zako Wanao KUPOPOMA BBC, CNN, MWANANCHI na NEW TIMES Ndiyo Unaona Kuwa Wanayajua Mambo Mengi? Nadhani Sasa Utakuwa Umeshagundua Kuwa Kwanini Baadhi Yenu Humu NAWADHARAU na Nimewabatiza Neno Zuri La Kireno POPOMA Kwani Uwezo Wenu Wa Kufikiri Na Kujenga Hoja Ni FINYU na MDOGO Sana. Ushauri Wangu Kwako Acha Kuwa Rigid in Mind and Try To Be Pro Active Haswa ktk Kutafuta Data Mbalimbali Na Usiwe MTUMWA Wa Kupokea Kilichohaririwa. Sasa Nimeamini Kumbe MIPOPOMA Mpo Wengi Sana Humu!
 
Back
Top Bottom