Wanajeshi wa Tanzania na vitambi !

Wanajeshi wa Tanzania na vitambi !

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Salam Za Dhati Kwenu Machief!
Jamani Ni Aibu Kuona Maofisa Wengi Wa Jeshi Langu La Tz, Wamevimba Matumbo Kuzidi Hata Raia Wa Kawaida...hiyo Ni Ishara Ya Ulelemama! Jirekebisheni Wanajeshi Wangu!

Jigo
 
Salam Za Dhati Kwenu Machief!
Jamani Ni Aibu Kuona Maofisa Wengi Wa Jeshi Langu La Tz, Wamevimba Matumbo Kuzidi Hata Raia Wa Kawaida...hiyo Ni Ishara Ya Ulelemama! Jirekebisheni Wanajeshi Wangu!

Jigo

Wewe Una Askari Jeshi au Una Wasanii Tu! Ukitaka Professional Soldiers Ambao Wapo Very Intelligent, Focused, Courageous, Brave, Committed, Ethical na Very Respectful Nenda Nchini Rwanda. Askari Wa TPDF Wanamengi Sana Na Mno Ya Kujifunza Kutoka Kwa Wenzao Wa RPF........Ukweli Ndiyo Huo MKATAE au MBISHE.
 
Chief Kwa Hali Hii Sizan Kama Wanaweza Himili Mikiki..Maana Ni Wazito... Hata Kutembea Ni shida!
 
Salam Za Dhati Kwenu Machief!
Jamani Ni Aibu Kuona Maofisa Wengi Wa Jeshi Langu La Tz, Wamevimba Matumbo Kuzidi Hata Raia Wa Kawaida...hiyo Ni Ishara Ya Ulelemama! Jirekebisheni Wanajeshi Wangu!

Jigo

wanasema vijana wote tukajifunze ukakamavu sasa wao nashangaa wanavitambi tena mbinuko aisee
 
Mchokoze mmoja wapo mwny kitambi kwa kumpokonya mke then uje utupe mrejesho hapa hapa.

Kumbe Ukakamavu Wao Uko Kwa Wake Zao!.,,Hili Ni Tatizo Maana Majukumu Yao Ni Kukabiliana Na Adui Wa Nchi
 
Wewe Una Askari Jeshi au Una Wasanii Tu! Ukitaka Professional Soldiers Ambao Wapo Very Intelligent, Focused, Courageous, Brave, Committed, Ethical na Very Respectful Nenda Nchini Rwanda. Askari Wa TPpDF Wanamengi Sana Na Mno Ya Kujifunza Kutoka Kwa Wenzao Wa RPF........Ukweli Ndiyo Huo MKATAE au MBISHE.
Rwanda!are you serious??Bange ni zao baya sana?
 
Mkuu, hao kwa kulinda "ke" wapo imara...na kwa kuvunja matofali ndiyo kiboko!! Lakini hutumia ubabe kwenye Daladala na kwa raia wanyonge !! Majigo

Mkuu Wanatudanganya Na Tofali Zao...Waje Wavunje Tofali Za Huku Mtaan Waone, Zile Zao Mong'onyo Full Mchanga
 
Last edited by a moderator:
wanasema vijana wote tukajifunze ukakamavu sasa wao nashangaa wanavitambi tena mbinuko aisee

hahah..sijui Wanalishwa Nini Huko!?..kumbe ndio Maana Vijana Wanaililia Kazi Ya Jeshi
 
Mwana jeshi hutakiwi kua natumbo huo niuzembe inatakiwa uwe na mwonekano kama wa huyu jamaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
html>
<head><title>301 Moved Permanently</title></head>
<body bgcolor="white">
<center><h1>301 Moved Permanently</h1></center>
<hr><center>nginx</center>
</body>
</html>

html>
<head><title>301 Moved Permanently</title></head>
<body bgcolor="white">
<center><h1>301 Moved Permanently</h1></center>
<hr><center>nginx</center>
</body>
</html>
 
Si bia za bure wasitoke vitambi kuna mmoja niko nae jirani hapa anabonge la tumbo ndo najiuliza hivi huyu anaweza kwenda vitani huyu
 
Back
Top Bottom