Wanajeshi wa kike duniani

Wanajeshi wa kike duniani

Da aisee hawa wanajeshi wa nchi za asia kabla hujamchapa risasi vitani unaomba mzigo maana da......full warembo
 
mmbona vifutu sana wanajeshi kweli hawa wataweza kugangamara

mkuu hawa wanajeshi wa ofisini tu, lakini vita hawawezi kabisa kwanza wameshasahau ujanja wa polini na mbinu za medani
 
mkuu mzizimkavu unamfahamu TANIA THE GUERILLA? jina lake kamili ni Tamara Bunke, ni askari wa kike pekee ambaye alikuwemo kwenye kikosi cha che guevara cha watu 50 kilichoenda Bolivia kwa lengo la kufanya mapinduzi mwaka 1965.
aliuawa mwaka 1967. inshallah nikijaliwa kupata mtoto wa kike basi nitamuita TANIA AU TAMARA in memory of comrade tamara bunke a.k.a. tania "the guerilla"
 
Back
Top Bottom