Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,674
48,448
Kama kawaida HAMAS wamekua wakitumia maeneo ya raia kama eneo la kurushia makombora, sasa kuna hili handaki lipo chini ya hospitali ambayo inahudumia wananchi, Israel wameizingira na muda wowote kutatokea maafa hapo, sijui pataishaje maana hilo handaki ndio command post ya HAMAS.
========================

Israeli Defense Forces have reportedly surrounded Gaza City’s biggest hospital, which they say sits on top of an underground Hamas command center.

Heavy fighting near the al-Shifa Hospital took place Friday and Israeli forces said it had killed dozens of militants and destroyed some of Hamas’ notorious terror tunnels where they harbour leaders and stash weapons, according to CBS.
One missile landed in the courtyard of the hospital causing chaos as the Israeli forces fought deeper into Gaza Friday.

The IDF later told CNN it concluded the missle was “a misfired projectile launched by terrorist organizations inside the Gaza Strip.”

The Israeli army has repeatedly accused Hamas militants of using hospitals in the area as cover and claimed Hamas commanders hide in tunnels underneath them.

They have said they want to take control of the hospitals so they are not longer under Hamas adminstration.

IDF spokesperson Lt. Col. Richard Hecht clarified Friday: “The IDF does not fire on hospitals. We are aware of the sensitivity of the hospitals … [But] are aware that Hamas are operating within the hospitals … We are not dropping bombs on Al-Shifa,” CBS reported.
 
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwamba hakuna ushahidi wowote unaothibitisha madai ya jeshi la Israel kwamba makao makuu ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) yako chini ya Hospitali ya Al-Shifa.

Taarifa hiyo ya Human Rights Watch imetolewa huku ndege za kivita za Israel zikiendelea kulenga hospitali kadhaa katika Ukanda wa Gaza.

Shirika hilo la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu New York nchini Marekani, limetahadharisha kuwa, kuendelea kwa mashambulizi karibu na Hospitali ya Al-Shifa "kunazua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa maelfu ya raia waliokimbilia hifadhi kwenye hospitali hiyo."

Human Rights Watch imeongeza kuwa, viongozi wa dunia wanapaswa kuitaka Israel iwalinde raia na miundombinu ya kiraia na sio kufanya mashambulizi kinyume cha sheria.

Taarifa ya Shirika hilo la kimataifa la kutetea haki za binadamu imetolewa kukadhibisha madai ya jeshi la Israel ambalo liliituhumu Hamas kwamba imeweka makao yake makuu ya uongozi chini ya Hospitali ya Al Shifa, ambayo ndiyo hospitali kubwa zaidi katika Ukanda wa Gaza.

Harakati ya Hamas ilikadhibisha shutuma hizo za Israel na kusema kwamba, ni kisingizio kinachotumiwa na utawala huo haramu kuhalalisha "mauaji mapya ya kimbari."

Ofisi ya vyombo vya habari vya serikali katika Ukanda wa Gaza pia ilisema kuwa walikuwa tayari kupokea kamati ya Umoja wa Mataifa ili kukagua hali ya hospitali hiyo.
 
Hili liinsha lote unamuandikia nani, hakuna mwenye muda wa kusoma haya makelele yenu, mngeyaandika ile siku mlikua mnaimba alla akbar wakati HAMAS wanaanza kushambulia kwa maroketi, kaeni mkao wa kupigwa.
 
Kama kawaida HAMAS wamekua wakitumia maeneo ya raia kama eneo la kurushia makombora, sasa kuna hili handaki lipo chini ya hospitali ambayo inahudumia wananchi, Israel wameizingira na muda wowote kutatokea maafa hapo, sijui pataishaje maana hilo handaki ndio command post ya HAMAS.
========================

Israeli Defense Forces have reportedly surrounded Gaza City’s biggest hospital, which they say sits on top of an underground Hamas command center.

Heavy fighting near the al-Shifa Hospital took place Friday and Israeli forces said it had killed dozens of militants and destroyed some of Hamas’ notorious terror tunnels where they harbour leaders and stash weapons, according to CBS.
One missile landed in the courtyard of the hospital causing chaos as the Israeli forces fought deeper into Gaza Friday.

The IDF later told CNN it concluded the missle was “a misfired projectile launched by terrorist organizations inside the Gaza Strip.”

The Israeli army has repeatedly accused Hamas militants of using hospitals in the area as cover and claimed Hamas commanders hide in tunnels underneath them.

They have said they want to take control of the hospitals so they are not longer under Hamas adminstration.

IDF spokesperson Lt. Col. Richard Hecht clarified Friday: “The IDF does not fire on hospitals. We are aware of the sensitivity of the hospitals … [But] are aware that Hamas are operating within the hospitals … We are not dropping bombs on Al-Shifa,” CBS reported.
Walilipue hilo handaki. Mavaa kobaz hamas mabogus saana yaani wanajificha nyuma ya wagonjwa na wagonjwa au wapalestina wanawachekea tu. Gaidi na mtunza gaidi na magaidi wote na uzao wao wote ni wa kigaidi. Toa wagonjwa lipua kinacho bakia na usiache hamas akatoroka hapo. Israel fanyeni kaz yenu
 
Back
Top Bottom