RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,427
- 139,297
Ok nimekupata....Kwa bongo in 25kg..
Ok nimekupata....Kwa bongo in 25kg..
Hiyo ni saa 12 asubuhi baada ya hilo zoezi la push up, mnaenda kunywa uji wa ulezi wenye pilipili manga.Mbona wanajua kwamba mnapiga push ups kwenye magodoro?
sisi tunao wa kupasua tofali kwa kichwa ( cement to sand mix 1: 50 )
Tatizo akishindwa kuingia huku,hata hao jamaa watakuwa hawana muda wa kuvunja matofali tena.so labda anahisi wameacha kazi yao wanavunja matofali tu.Na hao ndio wanaokufanya ungie kwenye mitandao na kutoa dhihaka dhidi yao. !
Acha weweee, Mimi nimewahi kwenda na 31+ kg's afu zaidi ya km 7.Kwa bongo in 25kg..
Labda kama unamaanisha polisi jeshi ila sio hawa wa kiraia.Ni police hawa!!!
Labda niulize tu, je wewe ni mwanajeshi ?Acha weweee, Mimi nimewahi kwenda na 31+ kg's afu zaidi ya km 7.
25kg za mazoezi.. Kwenye karinye karinye Ni ugumu kwa wagumu.
Jr CO.Labda niulize tu, je wewe ni mwanajeshi ?
Mkuu labda uliongezea maandazi na maji ndio ikawa 31 kg. but Kwa Tanzania ni 25 kg. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jr CO.
Citizen 1st Class