Wanajeshi wa huko Majuu

Wanajeshi wa huko Majuu

Hivi ww kilo hamsini unazijua kweli wewe
mkuu usiwe mvivu wa kutafuta taarifa, fuatilia.
Ingia youtube angalia interview na drill za british special force SAS, au Drill missions za FOur SAS commaondos na their Weapons Kit.
utaona umeandika kutokana na local limited exposure
 
Hao watakuwa wanadumisha amani nchin mwao. Ila wangetufaa sana hao Zanzibar
 
Ndio mkuu...

Soldiers and Marines in Iraq and Afghanistan routinely carry between 60 and 100 pounds of gear including body armor, weapons and batteries.

The heavy loads shouldered over months of duty contribute to the chronic pain suffered by soldiers like Spc. Joseph Chroniger, who deployed to Iraq in 2007.

Twenty-five years old, he has debilitating pain from a form of degenerative arthritis and bone spurs. "I mean my neck hurts every day. Every day," he says. "You can't concentrate on anything but that because it hurts that bad."

Like many soldiers and Marines, Chroniger shouldered 70 to 80 pounds of gear daily.

A 2001 Army Science Board study recommended that no soldier carry more than 50 pounds for any length of time.

"We were doing three, four, five missions a night sometimes," Chroniger says. "You're jumping out. You're running. I mean it hurts — it hurts."

murphy_1087210_weight-2189c2bbda7013675d43cc53b9b65acfeeee94d4-s400-c85.jpg
Pounds 60 = Kg 27.21554
Pounds 100 = Kg 45.35924
Duh! Wanamazoezi ya kutosha.
 
Kuna ulazima gani wa kumbeba mbwa? Kwani mbwa akitembea au kukimbia mwenyewe atamchelewesha huyo mwanajeshi? Na hao mbwa ni trained sio kwamba ukimwachia atakimbia hovyo.

Nahisi ni mazoezi ya kujiweka fit tu ila sio kwamba wanabeba hao mbwa wakienda kufanya tukio, ila wale US Marines yale mabegi yao mgongoni nasikia yana kilo si chini ya 50.
Ulisikia wapi?
 
documentaries...kwani hujasoma article nilio paste hapo? Jaribu google utaona articles nyingi tu wanazungumzia mizigo wanayobeba wanajeshi.
Mizigo midogo sana tena kwa wanajeshi! Hivi uliwahi kuona mchele au mahindi yanavyoshushwa kutoka kwenye malori makubwa? Watu wanabeba kilo 150 sembuse hao wa kilo 50 sawa na uzito wa vibrated block.
 
Hapo kwenye kofia zao nini hicho kimekaa kama tochi?
 
Ndio mkuu...

Soldiers and Marines in Iraq and Afghanistan routinely carry between 60 and 100 pounds of gear including body armor, weapons and batteries.

The heavy loads shouldered over months of duty contribute to the chronic pain suffered by soldiers like Spc. Joseph Chroniger, who deployed to Iraq in 2007.

Twenty-five years old, he has debilitating pain from a form of degenerative arthritis and bone spurs. "I mean my neck hurts every day. Every day," he says. "You can't concentrate on anything but that because it hurts that bad."

Like many soldiers and Marines, Chroniger shouldered 70 to 80 pounds of gear daily.

A 2001 Army Science Board study recommended that no soldier carry more than 50 pounds for any length of time.

"We were doing three, four, five missions a night sometimes," Chroniger says. "You're jumping out. You're running. I mean it hurts — it hurts."

murphy_1087210_weight-2189c2bbda7013675d43cc53b9b65acfeeee94d4-s400-c85.jpg
Mkuu kilo 45+kwa kutembea nazo kwenye mabegi kama hawa jamaa hapa kwenye picha????, endelea tu kusikia.
Mizigo midogo sana tena kwa wanajeshi! Hivi uliwahi kuona mchele au mahindi yanavyoshushwa kutoka kwenye malori makubwa? Watu wanabeba kilo 150 sembuse hao wa kilo 50 sawa na uzito wa vibrated block.
Kama ni kuhamisha kama makuli wa vitunguu, ni rahisi tu.si mwanajeshi tu hata wewe unabeba 80 hata.swala hapa ni kusakanya nazo kilomita kadhaa.
 
Mkuu kilo 45+kwa kutembea nazo kwenye mabegi kama hawa jamaa hapa kwenye picha????, endelea tu kusikia.

Kama ni kuhamisha kama makuli wa vitunguu, ni rahisi tu.si mwanajeshi tu hata wewe unabeba 80 hata.swala hapa ni kusakanya nazo kilomita kadhaa.
Vipi ninyi kule kwenu ccp si huwa mnabebaga foronya tu?
 
Naona kama ni wanajeshi wa Israel,kazi kweli kweli!
 
Kuna ulazima gani wa kumbeba mbwa? Kwani mbwa akitembea au kukimbia mwenyewe atamchelewesha huyo mwanajeshi? Na hao mbwa ni trained sio kwamba ukimwachia atakimbia hovyo.

Nahisi ni mazoezi ya kujiweka fit tu ila sio kwamba wanabeba hao mbwa wakienda kufanya tukio, ila wale US Marines yale mabegi yao mgongoni nasikia yana kilo si chini ya 50.
Hapana bana. An ideal pack ya askari huwa 25kg
 
Mkuu kilo 45+kwa kutembea nazo kwenye mabegi kama hawa jamaa hapa kwenye picha????, endelea tu kusikia.

Kama ni kuhamisha kama makuli wa vitunguu, ni rahisi tu.si mwanajeshi tu hata wewe unabeba 80 hata.swala hapa ni kusakanya nazo kilomita kadhaa.
Mkuu usibishe tu fanya utafiti. Kuna documentaries wanazungumzia hizo kg, kuna wanajeshi wameshitaki kwa kuumwa migongo kwa sababu ya hayo mabegi mazito waliyokuwa wanabeba jeshini.
 
Back
Top Bottom