Wanajeshi, polisi watwangana risasi

jwtz-jeshi la wananchi tanzania. wewe lete kirefu cha polisi

Jeshi la wananchi tz-JWTZ
Jeshi la police tz-
Tz people defence force- TPDF
Tz police force-TPF

tofauti ni majukumu yako JW wanadeal na usalama wa mipaka na police wana deal na usalama wa ndani ya nchi na iko more professional kwa sababu lazima wajue sheria na taaluma zingine tofauti na Jw they were trained to kill and not to arrest
 
Ahsante sana Molembe,kwa Uzi wako ila siku nyingine usiseme element sema helmet
 
Watanzania tuna matatizo ya hakili au cjui nisema Africa au ngozi nyeusi , kua jeshi sio maanake uvunje sheria. Wanajeshi Hawa Jwtz wanadhani kua wanaweza kuishi bila kuguswa na sheria ata kidogo huu ni umbumbumbu kabisa!

Soma vizuri uelewe kisa.

Polisi wangefanya kazi yao kwa weledi ya kuwakamata na kuwachukulia hatua stahiki haya yasingetokea. Tabu ni pale unapoanza kumpiga mtu, si kwamba wanajeshi hawachukuliwi hatua ila ile kupigwa ndo tabu. Kutovaa helmet sio maana yake nipigwe! nadhani hata wewe unge react kiasi unachoweza.
 
Kuna kitu sikielewi hapa.??

Wajeda wamepiga polisi alafu wajeda wamewekwa sero ufafanuzi tafadhari.
 
Refer kwa Mwangosi alikua arrest kweli?
 
Halafu bahati mbaya kuna watu watapoteza kazi hapa.
 
una akili wewe?au ndiyo unaleta siasa hadi kwenye huu uzi unajua umuhimu wa jeshi la polisi nchini!?hiv unajua kuwa utulivu ambao tunao ndani ya nchi ni kazi ya polisi?au wewe ni ukawa!?

Acha kutusi aseee unajua kazi ya jeshi n ipi? KULINDA AMANI YA NCHI HII na co ao polisi
Uliza uambiwe
 
Acha kutusi aseee unajua kazi ya jeshi n ipi? KULINDA AMANI YA NCHI HII na co ao polisi
Uliza uambiwe

Kazi ya jeshi jwtz ni kulinda mipaka.amani ya ndani sio kazi yao ndio maana nao eamelala wakati huu.
 
Kazi ya jeshi jwtz ni kulinda mipaka.amani ya ndani sio kazi yao ndio maana nao eamelala wakati huu.

Amani ya ndani sio kazi yao/jwtz?

KULINDA MIPAKA YA NCHI NA AMANI
ndio mana sehemu ambapo awa polisi wakshndwa kuleta amani basi awa jamaa husogea kufanya yao
 
Amani ya ndani sio kazi yao/jwtz?

KULINDA MIPAKA YA NCHI NA AMANI
ndio mana sehemu ambapo awa polisi wakshndwa kuleta amani basi awa jamaa husogea kufanya yao

Sehemu polisi wakishindwa!!,kuna sehemu polisi walishindwa kuleta amani!!?huenda kuongeza nguvu.kama ilivyo kwa km km wa magereza.

Tunazungumzia majukumu ya kila siku ya polisi na jwtz kuna opp za ujambazi ambazo jwtz wameshiriki hata moja nitajie hapa.
 
Watanzania tuna matatizo ya hakili au cjui nisema Africa au ngozi nyeusi , kua jeshi sio maanake uvunje sheria. Wanajeshi Hawa Jwtz wanadhani kua wanaweza kuishi bila kuguswa na sheria ata kidogo huu ni umbumbumbu kabisa!

Hivi unajua kati ya watu wanaovunja sheria ktk nchi hii polisi wenyewe na hawakamatani?!tunawaona huku town magari yao hayana rod licence wala insurance,wanaendesha pkpk hawavai helmet,wanachepuka kwny mataa km bodaboda na hawakamatani,ila afanye mtu ambae sio polisi angalia watakavyomghasi!utii wa sheria bila shuruti uanzie kwao vinginevyo ni vurugu tu!
 
hivi neno jeshi au mwanajeshi lina maana ya askari wa jwtz? Kwani police sio jeshi?
Unaposema jeshi watoa kipigo kwa polisi kwani polisi sio jeshi? Ufafanuzi plz

hata mgambo ni jeshi.....
 
Asante wajeda piga hao mbwa

Porisi mmoja akitolewa eneo ra-tukio baada ya kazi pevu ya 6 week. Heshima kwenu wakuu wa kambi.
 
Attachments

  • 19.JPG
    40.5 KB · Views: 280

Kwa hiyo polisi asipovaa helmet na wewe huvai!!!!????
Wasipotii sheria wao bila shuruti haiwezi kuwa vurugu hata siku moja.

Wewe ukiwaiga utakamatwa na utawekwa ndani na sheria itakutafuna.unajua kwann??

Wapo kwa ajir ya watu wanaovunja sheria.
 
Mwaka 2008 pale Njiro Arusha polisi waliposhindwa kuwatoa majambazi waliojichimbia kwny nyumba moja ndipo wakaitwa wajeda wakawatifua mpk wakajisalimisha wenyewe!hii nilishuhudia mwenyewe!
 
tena wapigwe mpaka watembelee makalio nyau hao,hongera sana JWTZ
Ebwana wewe sikia tu hapa JF ila ki ukweli kichapo cha wazee wa MWITUNI kilikuwa cha patashika nguo kuchanika. Jionee mwenyewe kwa kifupi hali ilivyokuwa tete mpaka wabaya wa wamachinga wakatokomea kusikojulikana , chezea 6wk za TMA.
 
Attachments

  • JW 2.JPG
    37.8 KB · Views: 302
  • JW4.jpg
    39.1 KB · Views: 261

Polisi hawezi kumkamata mvaa mabakabaka. Wanajeshi huwa wanawaona polisi kama raia tuu. Pia hao jamaa wana mahakama zao na adhabu zao. Sikumbuki kama walishawahi kushitakiwa kisutu au mahakama za kiraia Labda mfumo wa sheria ndo umekaa vibaya.. l
 
una akili wewe?au ndiyo unaleta siasa hadi kwenye huu uzi unajua umuhimu wa jeshi la polisi nchini!?hiv unajua kuwa utulivu ambao tunao ndani ya nchi ni kazi ya polisi?au wewe ni ukawa!?

Utulivu nilionao hautokani na Polisi bali ni mpango wa Mungu. Mbona polisi ni wauaji tu mheshimiwa. Tumetulia kwa kuwa tuna imani na JWTZ maana hata jina linamaanisha lipo kwa ajili yetu kuliko hili Jeshi la polisi lipo kwa ajili ya kulinda wenye fedha.
 
Mwaka 2008 pale Njiro Arusha polisi waliposhindwa kuwatoa majambazi waliojichimbia kwny nyumba moja ndipo wakaitwa wajeda wakawatifua mpk wakajisalimisha wenyewe!hii nilishuhudia mwenyewe!

Wajeda walikuja na siraha gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…