DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,737
- 81,805
Kwani unazijua Kazi za jeshi zote ?.Mipaka wamemuachia nani huko kipakani mpk walete foleni mjini?
Kwani unazijua Kazi za jeshi zote ?.Mipaka wamemuachia nani huko kipakani mpk walete foleni mjini?
NdioKwani unazijua Kazi za jeshi zote ?.
Tayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho
Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo😁
Kuwaandamanisha hao mazafakas ni burudani sana. Gen Z kamatieni hapo hapo!😅Tayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho
Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo😁
Picha, maana kwa uwongo hamjamboTayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho
Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo😁
Magari ya maji washa washa ndo ulinzi?Ulinzi ukiwepo mnalalamika usipokuweo mnalalamika
Waswahili sisi hatuna jema
Nyumbu aingize pua barabarani.Ni risasi ya matako tu.Amani ya Nchi italindwa kwa namna yeyote ile.Amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote hakuna kutumia maji ya kuwasha ukileta unyumbu utakutana na za moto
Kabisaa hata ikibidi kuyatoa rehani matako yako makubwa na malainiNyumbu aingize pua barabarani.Ni risasi ya matako tu.Amani ya Nchi italindwa kwa namna yeyote ile.
Leteni ujinga wenu tena mchezee goroli!! JWTZ na TANPOL hawacheki na kima.Tayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho
Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo😁
Samia siku anaapishwa alisema msisubiri 25/12 bali njooni siku yeyote matkuta wamejipangaSawa tutajitahidi, ila hili swala la kupanga maandamano siku za ibada halifai hata kidogo.