Wanajeshi 16 waungua moto hadi kufa Gaza

Wanajeshi 16 waungua moto hadi kufa Gaza

Hawa ni wale askari waliotekwa kule Israel na magaidi wa hamas!
Kumbe walishawachoma! Ila cha mtema kuni watakiona hawa magaidi wa hamas!
Kikundi cha mazishi kimetishia kugoma kwa kufanya kazi mfululizo ya kuchimba makaburi na kuzika Wanamgambo wa Israel wanaouwawa kama nyumbu
[emoji1787]
IMG_20231113_130951.jpg
 
Huna unachojua huyo Uliyemtumia kama reference nae ni mpiga propaganda wa israeli tu kama wewe. Vita ina propaganda nyingi sana na hawawezi kukubali kuwa wanajeshi wao nao wanakufa.
Sijaumia ila nimekuuliza sababu najua ni picha za kina nani na sio wanajeshi.
NB: Propaganda ride with low i
 
Huna unachojua huyo Uliyemtumia kama reference nae ni mpiga propaganda wa israeli tu kama wewe. Vita ina propaganda nyingi sana na hawawezi kukubali kuwa wanajeshi wao nao wanakufa.
Je hamas wanakubali kua wanajeshi wao wanakufa?
NB: picha fake 🤣🤣🤣
 
Miili ya wanajeshi 16 Israel ikiwa majivu baada kupata kipigo..

They are no longer cheering and dancing “we got Gaza all the children are dead now do they. ?
[emoji736]God almighty works in mysterious ways

16 Zionist soldiers were burned to death

I can’t even see a little bird dead. Life is sweet , But I say. Good riddance.
World will be a great human place with out these baby killer animalsView attachment 2812927
Kwenye vita hii nilazima itokee na kila upande lazima upate hasara kwa aina moja au ingine. kikubwa kinachotakiwa kuombewa hili liishe maana kuna ambao hawana upande wanapata shida mbali mbali kwa vita hii.
 
AKIULIWA ISRAEL NI SAWA, AKIULIWA MPALESTINA MNA ANDAMANA NA KULALAMIKA. hii ni vita, na wote wametangaziana vita na kila mmoja kaapa kummaliza mwenzake, kwahyo mauaji ya pande zote sio jambo la kushangaa, muhimu ni hamas waache kujificha kwenye makazi ya watu, waache wananchi watoke ili ipigane vita ya men vs men.
inasikitisha ISRAEL inaweka mbele wanajeshi ila hamas inaweka mbele raia, hu ni ubinafsi na udoko wa hali ya juu.
Acha uongo! Hili tukio likitokea trh 7 au 8 October 2023.

Wewe leo ndo unabadilisha hizo picha unafanya ni wanajeshi wameungua wakiwa gaza!

How pathetic
 
Back
Top Bottom