wanajamvi someni hapa!!

wanajamvi someni hapa!!

John Gelas

Senior Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
168
Reaction score
7
me ni kijana nliemaliza form four mwaka huu,so nko nyumban 2u ningeomba kwa anayejua kampun yeyote inayotafuta wafanyakaz aniambie coz nmechoka kukaa Idle mno!
 
Du,yaani wewe umemaliza Form form mwaka huu na umechoka kukaa nyumbani muda mfupi namna hii?
Anyway,wapo wataokuja kukushauri Zaidi.

Ila mie nakushauri tafuta Kozi yoyote ya ujuzi ili uwe na ujuzi kichwani.
Fuatilia Kozi za VETA zitakusaidia na kukupa msingi mzuri.
Umri wako na kazi ya ajira naona kama unaingia shimoni mapema.
 
ungekuwa mdada ningeweza kukushauri zaidi... Sema kibongo bongo.. Huwa kuna kazi za wakaka na wadada.. Nami hapa nahusika zaidi na mambo ya wadada
 
Hujaweka kamchoro hapa kabkuitetea hoja yako
 
Back
Top Bottom