Mkuu Patrickn pole..ni vizuri upate kipimo zaidi hasa ini kama hukumtambua adui yakoNipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Naomba unijuze,uling'atwa kwenye kisigino?
Manake kuna mdau wangu mmoja alinijulisha kuwa huyo kiumbe(naogopa hata kuandika jina lake hapa) huwa anang'ata kwny kisigino tu kama ilivyoandikwa kwny kitabu cha Mwanzo.
BTW😛ole sana
Pole sana but mbona hujibu? Mh unatupa wasiwasi hebu njoo hapa ili kidogo utupe moyo.
Tatizo ulilopata linaweza kumpata mtu yoyote kwani wengi tunapenda kuvaa sandals tukiwa na gari au jioni au kama hatuendi mbali hivyo huna cha kujilaumu ni bahati mbaya tu. Ugua pole but njoo pia mara moja moja utupe updates za afya yako.
Pole sana...Mkuu ni kwenye dole gumba la Kulia kwa pembeni,ila mguu wote sahv umevimba mbaya
Pole sana ukirudi nyumbani baada ya kupona uhakikishe unamsaka huyo nyoka na kumuua, atakuwa anakaa maeneo hayo bila kufanya hivyo utapata side effect baadaye hiyo ni imani ya kwetu labda ndo maana wamepungua sana. Pia hiyo kazi yaweza kufanywa na jamaa yakoMkuu ni kwenye dole gumba la Kulia kwa pembeni,ila mguu wote sahv umevimba mbaya
Pole sana but mbona hujibu? Mh unatupa wasiwasi hebu njoo hapa ili kidogo utupe moyo.
Tatizo ulilopata linaweza kumpata mtu yoyote kwani wengi tunapenda kuvaa sandals tukiwa na gari au jioni au kama hatuendi mbali hivyo huna cha kujilaumu ni bahati mbaya tu. Ugua pole but njoo pia mara moja moja utupe updates za afya yako.
Siku nyingine unamtafuta halafu unamkamata na kumbanika kwenye jiko la mkaa, ni kama samaki tuNipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Duh...! Kijana pole sana, kumbe mitaa ile kuna nyoka?Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Mna uhakika? Nasikia na mafuta ya taa nayo yanasaidia.Ni dawa nzuri sana,anywe asichelewe.
Ni kweli imani inadhuru..Pole sana ukirudi nyumbani baada ya kupona uhakikishe unamsaka huyo nyoka na kumuua, atakuwa anakaa maeneo hayo bila kufanya hivyo utapata side effect baadaye hiyo ni imani ya kwetu labda ndo maana wamepungua sana. Pia hiyo kazi yaweza kufanywa na jamaa yako